Mfanyabiashara maarufu Mo Dewj baada ya kufika Liverpool England

ormystatus

Member
Nov 3, 2019
89
176
IMG_20191103_221354_600.jpeg

=====
Mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘MO Dewji’ na muwekezaji wa Simba SC leo amepost picha akiwa Liverpool England na kuandika maneno ya utani kuhusu Liverpool wakati huu timu yake ya Arsenal anayoishabikia ikiwa haifanyi vizuri.

Hii sio mara ya kwanza kwa MO Dewji kutembelea vilabu vikubwa vya soka Ulaya, aliwahi kuitembelea club ya Juventus na kuweka wazi kuwa mpango wake ni kujenga mahusiano kati ya Simba SC na Juventus ambayo yataweza kusaidia kukuza soka letu.
 
View attachment 1256005

Sasa kama Amekwenda kote uko kushangaa vikombe Si bora angekwenda klabu ya Yanga kusha ngaa vikombe? Pale Angeviona vikombe lukuki vya Tanzania bara, Muungano, Ngao za jamii, Afrika Mashariki n.k Historia iliyo tukuka angeikuta pale Jangwani. Angeikuta historia ya Pele na Santos kukaribishwa Jangwani.
 
Pale kuna vokombe au vibakuli vya kuchotea maji kwenye mafuriko, halafu pale hukosi viroboto
 
Back
Top Bottom