Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,519
- 217,785
Sasa ni dhahiri kwa mwenendo wa timu ya Liverpool , hakuna namna nyingine ya kuiokoa zaidi ya kumtimua kocha wake .
Mpaka dk 64 ilishatandikwa mabao 4-1 na timu ya kawaida sana ya Totenham Hotspurs , hakuna dalili ya kukomboa mabao haya , na hii ni ishara mbaya mno kwa Liver , Kwa ilipofikia Klopp atupiwe virago vyake timu ianze upya.
Klopp ni bingwa wa kuongea na kubwabwaja huku akisahau kwamba soka si sawa na Ngonjera .