Liverpool Vs Manchester City; Njooni tujadili hii game

Yes iam

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
258
370
N aje guys
Jumapili hii kutakuwa na mpambano wa kukata na shoka pale England hawa vidume wawili kwa mtazamo wangu ndo anapatikana bingwa wa Epl

Huku Liverpool wakiwa kwenye ubora wa hali ya juu msimu huu na hawajapoteza game hata moja wanatarajia kuwakaribisha Manchester city ambao hawajawa na Msimu mzuri ikiwa had sasa hiv wamepoteza mechi mbili.
kwa upande wangu nawapa nafas Manchester city kushinda hii mechi na Bernad Silva kuwa chachu kweny kutingisha ngome ya Liverpool, ;;
Result Ft Liverpool 1-3 Man city
 
3 - 1 ...sidhani mkuu kama city anaweza kushinda zote hizo kwa form yake hii ya kusuasua coz hata Soton amemletea kizaazaa last week.
City atakuwa kama hana cha kupoteza kwnye hii game kwa hyo naona wakijitoa sana kushambulia
 
Kwagame zao za karibuni naona gemu ni suluhu.

Kama kushinda Man City ana percent mbili zaidi ya Liva kushinda hii gemu. Na sioni magoli mengi unless Liverpool wajichanganye kumfanyie dhihaka Sterling kama Chelsea walivyojichanganya.

Suluhu 52%

Ushindi. Liva 23% na Man City 25%.
 
N aje guys
Jumapili hii kutakuwa na mpambano wa kukata na shoka pale England hawa vidume wawili kwa mtazamo wangu ndo anapatikana bingwa wa Epl

Huku Liverpool wakiwa kwenye ubora wa hali ya juu msimu huu na hawajapoteza game hata moja wanatarajia kuwakaribisha Manchester city ambao hawajawa na Msimu mzuri ikiwa had sasa hiv wamepoteza mechi mbili.
kwa upande wangu nawapa nafas Manchester city kushinda hii mechi na Bernad Silva kuwa chachu kweny kutingisha ngome ya Liverpool, ;;
Result Ft Liverpool 1-3 Man city
kwa hiyo umeita watu wajadili nini?

Mechi ya Liverpool Vs Ciy au hayo Matokeo uliyobashiri?
 
Kwagame zao za karibuni naona gemu ni suluhu.

Kama kushinda Man City ana percent mbili zaidi ya Liva kushinda hii gemu. Na sioni magoli mengi unless Liverpool wajichanganye kumfanyie dhihaka Sterling kama Chelsea walivyojichanganya.

Suluhu 52%

Ushindi. Liva 23% na Man City 25%.
Kabisa mkuu, afu hizi game zao toka msimu uliopita huwa kama wanaogopana, hawafunguki macho yanakuwa kujilinda zaidi kuliko kushambulia ndio maana ht mimi naiona droo.
 
Game itakuwa si ya kitoto kama jinsi 2navyo fikiria,Man city kutoka na point 3 pale Anfield nalo si jambo la kitoto,yote yote ni mawazo tu ambayo na mpira ukiwa uwanjan ni vi2 viwili tofaut,2ombe uzima kisha 2one hali ya mchezo halisi,ila upande wangu nampa % kubwa Liver ya ushindi
Liver 51% kupata point 3
Man city 49% kupata point 3
 
Pep atapata tabu sana kwenye Ukuta wake Ederson Laporte wote hawapo hilo tatzo
x1 of City should be

Bravo
Walkel Stones,Fernandinho Mendy
Gundogan De bryune Bernado silva
Mahrez Aguero Sterring.

huku liva wakiwa wako full mkoko hawana nyota yeyote alie majeruhi
 
Anfild city akipata sare atachekelea sana, pale machinjioni alaf asiombe chamberlen aanze maana atapiga mafataki na ukuta wao ushakua mbovu. Kwa wazee Wa mikeka weka liva win and GG
 
Ukuta wa liverpool sio imara sana, ukichukulia mfano wa mechi ya arsenal, na hii ya genk unaona wazi kabisa kuwa vvd ameanza kuwa uchochoro, kwa upande wa anold kuna nafuu nafuu ila ampate mtu kama robertson wanaweza kuwa na chemistry nzuri
 
Back
Top Bottom