Ndanda vs Yanga ni msiba usio na matanga

dogoodesign

Member
Oct 21, 2019
41
21
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo ju leo kutakua na mechi kali kati ya yanga sc na ndanda . yanga wanatoka kumfukuza kocha wao na benchi lake zima la ufundi na wanapata kocha mpya wa muda ambaye si mgeni na yanga . Leo kwa mtazamo wangu yanga atashinda japo kwa taabu na kikosi kitakua hivi

Metacha
Juma Abdul
Sonso
Lamine moro
Calvin Patrick Yondan cotton juice pamba
Bui
Tshishimbi
Feisali
Balama
Juma balinga
Ngasa
 
Samine moro

Game inapigwa muda gani mkuu?
 
Hivi kumbe Yanga wana Mchezaji anaitwa Samine Moro?
 
Ila ndanda hawana timu asee japo hawajafungwa ila hawana washambuliaji wa maaana hii timu haieleweki sema Yanga wachovu tuu wangewatandika nyingi saana
 
Back
Top Bottom