Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wachambuzi wetu wanakera sana. Wanahukumu wachezaji, viongozi wa timu, wafadhili, waamuzi, bodi ya ligi, TFF kama vile wanao ushahidi wa kile wanachokihukumu. Wamepata ajira kwenye chombo cha...
1 Reactions
2 Replies
285 Views
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema kipengele kilichokuwa kikisambaa mitandaoni kuhusu udhibiti wa wachambuzi wa soka hakitakuwa sehemu ya kanuni za...
1 Reactions
0 Replies
109 Views
Prisca Kishamba ni mwanamke pekee anaegombea ujumbe wa kamati ya utendaji wa timu ya Yanga. Kwa heshima ya Rais Samia, wanawake na timu ya wanawake ya Yanga tumchague huyu binti kuwa kwenye...
1 Reactions
9 Replies
236 Views
Ni ukweli usiopingika kwamba kwasasa Riadha imekua. Ukuaji huu kwa umetokana na mazingira rafiki yaliowekwa na serikali hususani kupitia taasisi mbalimbali zikiwemo majeshi kwa kuajiri wana riadha...
1 Reactions
9 Replies
149 Views
Bongo FM wana mtangazaji mpya,mwenye hilo jina hapo juu.Mimi simjui kabisa lakini ni mtangazaji mzuri sana,natamani kumfahamu zaidi.Mwenye kumfahamu ntafurahi akinipa historia yake.
0 Reactions
5 Replies
155 Views
Media nyingi Kwa maono yangu ya karibu na ya mbali zinajitenga na bwanah Mwakinyo sijui ila nahisi ni Kwa ajili ya mikataba au wadhamini wake na mashabiki pia wanajigawa Siku za hivi karibuni...
0 Reactions
2 Replies
113 Views
Mshambuliaji hatari wa kimataifa wa Namibia, Peter Shalulile, alihitimisha msimu wa 2025/26 wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini akiwa na mabao matatu katika mechi 13 alizoichezea klabu ya Mamelodi...
3 Reactions
12 Replies
475 Views
Mpango wa FIFA wa kuuza sehemu ya umiliki katika kampuni mpya ya kibiashara yenye thamani ya dola bilioni 20 umezua mjadala mkubwa kuhusu uendeshaji na uwajibikaji katika soka duniani. Pendekezo...
1 Reactions
0 Replies
136 Views
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, leo Julai 27, 2026, itashuka dimbani kuivaa Afrika Kusini katika mchezo wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (Women's AFCON...
1 Reactions
14 Replies
403 Views
Kiukwel naona kabisa mabos pale viunga vya Chamaz wamechafukwa sana sio kwa sajili hizi tunazoziona Wana kocha MZURI mwenye uzoefu wa kutosha na soka la vilabu AFRIKA hii amefundisha timu kubwa...
0 Reactions
4 Replies
330 Views
Klabu ya Jamus baada ya kuwaduwaza Singida BS mechi iliyopita, leo anakutana na Mnyama Simba SC aliyetoka sare mechi iliyopita dhidi ya Mogadishu. Je, nani kuondoka na alama tatu?...
4 Reactions
18 Replies
563 Views
Niliwah kuleta Uzi humu na nikasema mwamnyeto, Edmund john , n.k hawafai kubaki Yanga sc, nikaishia kutukanwa na kuitwa mjinga. Leo nitawasanua Tena , max nzengeli,anacheza nafasi isiyokua yake...
6 Reactions
22 Replies
797 Views
Tanzania imepiga hatua nyingine katika juhudi za kuendeleza mchezo wa uogeleaji kufuatia kuwasili kwa kocha wa kimataifa, Ben Lee, ambaye atatoa mafunzo ya kiwango cha kimataifa kwa waogeleaji...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Miongoni mwa maamuzi ya hovyo zaidi kuwahi kuyaona basi hili la Assemahle Wellem kutoka South Africa kutoka huko kwao kuja Tanzania kupigana kwa bendera ya Tanzania chini ya Mafia boxing...
2 Reactions
3 Replies
142 Views
Hawa ndio makocha wote waliofanikiwa kushinda Kombe la Dunia (FIFA World Cup) tangu mwaka 1930 hadi 2026: 1. 1930 – Alberto Suppici (Uruguay) 2. 1934 – Vittorio Pozzo (Italia) 3. 1938 –...
5 Reactions
10 Replies
273 Views
Timu za Tanzania zinaongoza kwa kuzoazoa wachezaji mseto kutoka Drc, Senegal, Nigeria, Mali nk...tukifuatiwa na Al Hilal ondurmana ya Sudan.na kule Libya. Nilichokuja kugundua Wachezaji wengi...
5 Reactions
9 Replies
422 Views
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeripotiwa kukataa pendekezo la Shirikisho la Soka la Misri (EFA) lililotaka kuongeza idadi ya klabu za Misri zinazoshiriki CAF Champions League na Kombe...
4 Reactions
20 Replies
894 Views
Huyu ni mtangazaji wa mpira wa miguu kutoka Azam TV.Ana staili yake tofauti anapotangaza mpira wa miguu kwa wanawake.Hakika huwa anaburudisha sana maana humtaka kila mchezaji kwa majina yake...
1 Reactions
0 Replies
95 Views
  • Featured
Kaizer Chiefs imemtangaza rasmi Adolf Mtasingwa kuwa kiungo wao mpya kutoka Azam FC. Inaelezwa Azam FC wamemuuza nyota huyo kwa $500,000 sawa na Tsh. 1,318,696,000 akiwa amesaini mkataba wa...
14 Reactions
27 Replies
1K Views
  • Poll Poll
================================= Hatimaye mwisho umefika, nani anaenda kutwaa ubingwa? Sijui niweke bet na Mods eti Wakuu? Team Messi mbondwe tu🤣🤣
7 Reactions
277 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…