Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Yanga inaweza kuwa na msimu mbaya kuliko mingine yote katika historia yake tangu kuanzishwa kwakwe.. Nimetumia neno INAWEZA kwakuwa bado ina nafasi ya kufanya jambo Rangi, maumbo na michoro...
41 Reactions
434 Replies
29K Views
Karibu katika mikiki ya NBC PL ambapo leo majira ya saa 10kamili jioni pale katika dimba la kumbukumbu ya Rais wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ally Hassain Mwinyi,wenyeji...
8 Reactions
337 Replies
17K Views
Majigambo kila Kona ya Dunia
0 Reactions
128 Replies
10K Views
hebu tuangalie utabiri wa mechi ya YANGA SC dhidi ya SIMBA SC tarehe 25 Juni 2025 saa 10 jioni, kwa kutumia numerology – sayansi ya kiroho ya namba, ambayo huangalia msingi wa namba ya tarehe...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Labda niwaambieni tu Uongozi wa Simba SC kuwa Rais mpya wa CAF Bwana Patrice Motsepe haungwi (hakuungwa) Mkono na Rais wa TFF Bwana Wallace Karia ambaye inajulikana alikuwa ni Mtu wa aliyekuwa...
14 Reactions
40 Replies
6K Views
Mtoto wa mzalendo wa mchezo wa riadha mzee John Stephen Akhwari aitwaye Rogath John Stephen ajitosa kuwania urais wa shirikisho la riadha Taifa (RT), ni kocha wa riadha wa jeshi la polisi kwa mkoa...
0 Reactions
5 Replies
445 Views
Hello wana Jukwaa, Niende kwenye Mada Kwa ufupi. Hivi viongozi wa Simba umakini wenu aliondoka nao Hans Pope kweli cream kama Tshabalala The Captain, the only one & the top in SIMBA Sports Club...
0 Reactions
7 Replies
567 Views
Hawa PSG wanapeleka sana moto Nawashauri vitoto vya Chelsea na Babu yao wasiingize timu watapigwa Kono la nyani
8 Reactions
42 Replies
2K Views
Chelsea nipeehaha nipeee rahaha bababaaaaa
0 Reactions
1 Replies
327 Views
Tafadhali sana yeyote mwenye access ya kumpata mzee Mangungu amfikishie hii habari. Mangungu wewe ni shujaa wetu unaipenda Simba kuliko Mo Dewj. Tafadhali tusajilie wachezaji bora achana na...
1 Reactions
6 Replies
469 Views
Katika hali ya kushangaza lakini ya kweli, mashabiki wa Simba SC wamekuwa kama mkia wa kondoo wanajikaanga wenyewe bila hata ya kuhitaji moto wa nje. Timu yao imekuwa ikipitia misimu ya maumivu...
4 Reactions
20 Replies
930 Views
Game itapigwa siku ya jumamosi tarehe 29/05/2021 ndani ya dimba la Estadio Do Dragao ndani ya nchi Ureno. Tupia utabiri wako hapa. Utabiri wangu. Chelsea 0 vs Man City 3 Either Players to...
5 Reactions
85 Replies
8K Views
Kurusha mawe kwa Mangungu ni kupoteza muda tu, hata ikitokea kajiuzulu Mambo yatakua hivyo hivyo tu. Mangungu anatumika ana watu nyuma ya Pazia Hana sauti na Hana uwezo wowote wa kupambana na...
2 Reactions
16 Replies
763 Views
Hii kitu unawekaje?
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Nimeachana rasmi kubet football nimehamia basketball..aisee najuta sijui kwanini nilichelewa kuijua basketball yaani uku pesa nje nje hakuna vyuma kukaza. Jana nitumia sh300 tu nimeshinda laki5...
12 Reactions
111 Replies
37K Views
Wakati wa kusajiri wachezaji umefika, ni sasa. Kama yupo mfadhili, kiongozi, mwanachama, shabiki, mchambuzi, mwamuzi, mchungaji, sheikh au mganga wa jadi anataka kuisadia timu yake kupata matokeo...
1 Reactions
5 Replies
403 Views
Mangungu sio kwamba tunamchukia ama tunamtakia mabaya, hapana, mm namuombea kwa mungu jina lake lirudi vzr huko Dodoma apeperushe benders ya chama kule jimboni Kilwa Kaskazini awe mbunge...
2 Reactions
7 Replies
538 Views
Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi wa shirikisho la riadha Tanzania ~RT Bw. Leornard Thadeo ametangaza uchaguzi wa rais na wajumbe kufanyika tarehe 16:08:2025 katika hoteli ya Aden Palace, Jijini...
1 Reactions
5 Replies
511 Views
Klabu ya Simba Imempa rasmi Thank you Fabrice Ngoma Baada ya Kuitumikia simba Kwa Misimu Miwili Mfululizo. Asante Fabrice Ngoma kila la heri
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…