Eti Doctor Leakey kakatazwa KUBET?

hiram

Senior Member
Aug 1, 2013
174
250
Eti DK Leakey alikuwa akiyapiga sana makampuni ya betting kwa hiyo kakatazwa kubet na wamemuajiri na ndiye anayetengeneza fixtures.
Swali:
1. mashine nyingi za kubet mtu haandiki jina je watamdhibiti vipi?
2. Je akimjazia mtu mwingine mkeka je?
3. Ukiacha vijiweni Je Hii habari iliandikwa na chombo gani cha habari?
 

All TRUTH

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
4,294
2,000
Na mimi ninekuwa teja kweli kweli na kuacha na shindwa kabisa ila natamani kuacha lakini ndo nashindwa huyu ibilisi ananitesa na kunifilisi
Kama ku bet basi Dr. Leakey ana bet Casino, sifahamu huko inakuwaje lakini ni ukweli usiopingika kuwa Dr. Leakey ni "addicted gambler", teja la kamari.

Namuomba Allah amuondoshee hilo tatizo huyu ndugu yangu katika Uislam, ni tatizo kubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

avogadro

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
3,922
2,000
wakishalewa gahwa na alkasus ndio ujinga ambao huwa wanaongea !!! ???? ujinga mtupu
 
Top Bottom