Natumia kisimbusi cha startimes na hivi karibuni waliahidi kuonyesha mashindano ya emirates kwa kuanzia kifurushi cha 21,000/=
Ajabu ni kuwa mi sioni chochote, kila nikitembelea channel zao za michezo, premium, focus, life na arena zote hamna kitu. jana ilikuwa chelsea na hull city saa 2.30......nimekaa we kusubiri wapi badala yake nakuta tu matangazo ya bundesliga.
Hivi ni mimi tu au na wenzangu ni hivyohivyo?