Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Anaandika Mhe. Hamisi Kigwangwala “Kama ni kudaiana tu, tena bila mikataba, basi na sisi wana @SimbaSCTanzania tunamdai mwekezaji pesa nyingi sana!” “Tulimtaka aweke bilioni 20 kwenye account...
28 Reactions
88 Replies
5K Views
Wazee,kama kuna mpenzi wa mashindano ya baiskeli, naomba anijuze wapi ya mwaka huu 2025 ni live(king'amuzi gani). Hata Livestream nimetafuta hamna kitu.
0 Reactions
0 Replies
211 Views
Mnajitia sifa kusajili wachezaji kumbe huku nyuma mnadhulumu akina Prince, ni basi tu timu yetu ya Msimbazi haina viongozi ndio maana utopolo wanatamba.
2 Reactions
6 Replies
706 Views
"Niwaombe tu Baadhi ya vijana wenzangu ambao ni Waandishi wa Habari .. Mtu anapokupa stori Yoyote kuhusu yangasc.. Ni Vyema Ukanipigia kwanza ili UBALANCE kisha ndio uandike Kilichotokea Leo kwa...
3 Reactions
0 Replies
710 Views
Ameyasema hayo baada ya kukutana kocha wa Fadlu daviskwa Mazungumzo ya kuboresha kikosi kwa msimu Ujao Ubaya ubwela Season 2 tutapiga tuue
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Transfer News Live👇👇 Muda wowote kuanzia sasa Kocha wa Al Hilal Florent Ibengé (63) atatangazwa kuwa kocha mkuu wa Azam FC. Muda huu Ibenge yuko nchini kukamilisha taratibu zote✍️ Maisha ya...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mwanasheria wa Yanga, Simon Patrick, ametoa ufafanuzi juu ya umiliki wa mchezaji Yusuf Kagoma baada ya mazungumzo marefu na klabu ya Singida Fountain Gate. Patrick alisema, "Tulianzisha maongezi...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Uwanja wa Mkapa ulijengwa kwa ushirikiano wa Serikali ya #Tanzania na #China, mpango uliopo mezani ni mchakato wa ujenzi wa uwanja mwingine wa kisasa ambao Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu...
9 Reactions
63 Replies
6K Views
Yes hili pambano ni kiboko
0 Reactions
1 Replies
580 Views
Ni kama mtu anayejifunza kuogelea siku meli inazama. Too late!!! Imebainika kuwa uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ulianza kushinikiza Baraza la Michezo la Taifa (BMT)...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu! Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein maarufu kama Zimbwe Jr, ameondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba kwenye mitandao yake rasmi ya kijamii, hatua inayozidi kuchochea uvumi wa...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Wapo waliokuwa wakisema kuwa mashindano ya FIFA Club World Cup hayana mvuto. Lakini je, kauli hizo zilianza kabla au baada ya Chelsea kutwaa ubingwa na PSG kupoteza? Ikumbukwe kuwa kupitia...
0 Reactions
7 Replies
860 Views
Nyota huyo wa Barcelona anakabiliwa na uchunguzi huo kutokana na malalamiko ambayo mamlaka imesema imeyapokea kutoka kwa Chama Cha Mambilikimo nchini Uhispania kinachoitwa ADEE. Duru za ndani...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Baada ya Mchambuzi Farhan Kihamu kuandika kuhusu Simba inavyopoteza mapato mengi kwa kushindwa kusajili Wanachama wapya jambo ambalo linasababisha ukata na kukwamisha maendeleo kwenye klabu hiyo...
2 Reactions
7 Replies
839 Views
Ukizungumzia “Sports anchor” yaani muongoza kipindi cha michezo hakuna kama Alex Luambano wa Clouds FM. Jamaa kwanza ni mkongwe sana kwenye Tasnia, ana utulivu mzuri, sio mropokaji. Vilevile...
9 Reactions
13 Replies
845 Views
1. Kisheria ni nani aliyemuuzia MO Simba SC? 2.Ndani ya Simba SC ni nani mwenye mamlaka ya kumuhoji MO? Nje ya Simba SC je? Kama mpo kwa nini msimuhoji? 3. Kwanini MO anaruhusiwa kuchanganya...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
"Binafsi nimemsikiliza Tajiri ila sijaona utofauti wa kile alichoongea msimu uliopita na leo. 1. Mo anasema ametoa zaidi ya Tsh 80b, inawezekana ni kweli Ila atwambie na Yeye Simba imemtengenezea...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
# anasema kuwa Bilioni 87 ambazo mwekezaji amesema amewekeza ndani ya Simba ni mara mbili ya thamani ya Wydad Cassablanca( yaani unainunua Wydad na chenji inabaki), lakini ukiangalia mafanikio ya...
3 Reactions
10 Replies
653 Views
Hili ni hoja nzito na ya msingi, hasa kwa mtu anayefuatilia masuala ya umiliki wa vilabu vya mpira wa miguu, na hasa mgogoro unaoendelea kuhusu uendeshaji wa Simba SC. Tuchambue kwa kina: 1...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…