Live Updates VPL: Simba Sc Vs Biashara Utd,Mkapa Stadium

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
30,445
2,000
120006273_1740181656133073_3394445284053115451_o.jpg
 

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,203
2,000
Bado mshambuliaji ni mmoja
Hakuna kitu kinanichukiza kama hicho hakika sifurahiiiii hiki kiKocha sikipendi kwa mbinu zake. Unacheza na Ihefu au Biashara na Mshambuliaji mmoja tukicheza na TP Mazembe si ndio tutacheza na Viungo timu nzima!
Mbinu za huyu Kocha zinabebwa na Uwezo binafsi wa Wachezaji lkn kocha hakuna pale. Ona sasa amekazana na Mzamiru akiwaaacha watu wenye Mpira wao Benchi
 

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,203
2,000
Pia kuna Kampeni anaifanya Gakumba ambaye ni Meneja wa Kagere kupitia vyombo vya Habari siyo nzuri kwa Simba. Wanasimba nawatonya mapema, Gakumba na Kagere hawaangalii maslahi ya Simba bali anachotaka Kagere acheze bila kujali anafunga au hafungi. Gazeti la Mwanaspoti chini ya Bumbuli linatumika kuchochea moto huu.
Pia Wanasimba mjue Gazeti la Mwanaspoti siku zote Front Page zake WINO MZITO LAZIMA uiongelee Yanga tuuu na kuna Mazito nyuma ya huu Mkataba ya Kinazi hivyo wakati mwingine tuwe makini nalo juu ya Uchochezi Maandazi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom