Kwa tuliomuangalia ndugu yetu Diego aka Samagoal akicheza mechi yake ya kwanza akiwa Fenabahce dhidi ya Galatasaray.
Je, kuna dalili ya ndugu yetu kuwika kama alivyokuwa Genk?
Huyu jamaa anapiga miguu yote 100%
Style ile ile ya Sant Cazorla midfielder maestro wa zamani wa Arsenal. Kona ikiwa kushoto yeye utatumia guu la kulia, ikiwa Kulia yeye utatumia guu la kushoto...
Binafsi baada ya kusikia madai Mwakalebela nikajiuliza Simba wawe wajinga kiasi gani watumie weakness iliyokuwa kwenye mkataba wa Yanga na Morrison na wao wafanye the same mistake moyoni nikasema...
Nianze kwa kuwaomba radhi mods na watu wengine ntakaowaudhi kwa kupost hapa.
Nimewaza sana jukwaa sahihi la kupost hii thread ila nimekosa. Nikaona nipost hapa nikiamini kuna watu wa kunisaidia...
Mimi sina maneno mengi huyu bwana mdogo ananikumbusha Rivaldo Vitor Borba Ferreira. Wakongwe nadhani mtaungana na mimi!
Umeliinaje goli la Miqquissone kuelekea Kariakoo Derby wiki mbili zijazo...
Ole Gunnar Solskjaer has been officially announced as Manchester United's caretaker manager until the end of the season.
Solskjaer, 45, has been appointed with immediate effect, less than 24...
Wakuu Salaam;
Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kua imemfuta kazi kocha wao Zlatko Krmpotic. Hata hivyo Yanga SC hawajatoa sababu yoyote ya msingi ya kumfungashia virago kocha huyo.
Nini maoni...
Wakati dirisha la usajili likikaribia kufungwa huko barani ulaya kumekuwa na habari mbalimbali zikiendelea lakini kubwa ni winga wa Borrusia Dortmund Jadon Sancho akihusishwa na kujiunga...
NIMEONA KUKAA KIMYA SIYO BUSARA SANA NAOMBA NA MIMI NIJARIBU KUSAIDIIA KWENYE HILI,
Picha ambazo zinaonekana hapo chini za Bernard Morrison ambazo walipost simba sports club kabla ya kesi...
RASMI: Kocha mpya wa klabu ya Yanga ni Zlatko Krmpotic, raia wa Serbia ambaye ameingia makubaliano ya mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo. Kocha huyo anatarajiwa kuwasili kesho jijini...
Miaka ya nyuma hawa jamaa walokuwa balaa kiwanjani wakilisakata gozi la ng'ombe,kwa uchache (waweza ongezea):
Ubwa Makame 'Mzungu'
Leonard William
Juma Mkambi 'Jenerali'
MohamedBakari 'Tall'...
Moja kati ya watu niliofurahia kusikia wanasajiliwa Yanga ni Faridi Musa. Ila nashangaa toka ligi ianze amecheza mechi moja tu. Mechi zingine zote haonekani hata benchi. Je, anashida gani?
Hakuna haja ya kumgombania Morrison mmoja...
Nachoamini vilabu vyetu vikubwa hapa nchini vinakosa scouting nzuri za kuibua vipaji maridhawa kutoka hapa hapa nchini.
Yanga bwanaa
Au kisa Ni ile...
TIMU ya Barcelona iliwasili juzi usiku mjini London kwa ajili ya kukabiliana na Manchester United katika mechi ya fainali ya kuwania ubingwa wa Ligi ya Mabingwa barani Ulaya siku ya Jumamosi...
Hii akili ya wapi? Ni akina nani wanamtuma Kubwa Jinga Mwakalebela kwa suala la Morrison?
Yanga wamepita wachezaji wangapi wakaondoka team ikabaki? Kwa nini Morrison anaonekana kututesa sana...
Game ngumu kwa kila timu, magoli ya kubahatisha huku wakibebwa na waamuzi, hawana uhakika kesho itakuwaje, kipigo cha mbwa mwizi bado kipo kichwani, hivyo wanaona ni bora wapigane.
Ni kama...
Je, anayoiongoza Yeye ni Young Africans kama aliyokuwa akiitaja leo au ni Yanga African au ni Yanga Sports Club au Dar es Salaam Young African?
Kisha akishamaliza 'Kunijibu' hili namwomba pia...
Wadau wa JF,
Habari ndugu zangu, kwanza kabisa nawapongeza taifa kwa kwenda kushiriki afcon 2019 nchini Misri japo kimazabe.
Leo nimemsikia Samatta akisema wanaenda kucheza michuano hiyo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.