Wafahamu wachezaji wa soka wanaolipwa mapato ya juu zaidi 2020
Linapokuja suala la kupima wachezaji wazuri katika mchezo unaoshabikiwa sana, macho yote huangazia wachezaji wawili walio na...
Hatimaye klabu ya Yanga ambayo haina kocha, imemteua beki kisiki Lamine Moro kuwa Nahodha mpya wa kikosi hiko.
Bakari Mwanyeto pamoja na Mukoko watakuwa manahodha wasaidizi.
Nini maoni yako juu...
1. USHIRIKINA
Tambueni ya kwamba katika Mechi hiyo (hii) Yanga SC ndiyo Mwenyeji na hakuna asiyejua kuwa Timu hizi Mbili (Vilabu hivi Vikubwa viwili ) ni 'Mabingwa' wa 'Ushirikina / Ndumbaism' na...
Kwenye kipindi cha Asubuhi TBC kulikua na mahojiano ya wageni wawili, Meneja masoko TFF (Mr. Nyanda) na Mtaalamu wa N Card.
Sasa kimbembe kikaanza jamaa wa masoko anaulizwa umeiuzaje mechi ya TFF...
Kampuni ya michezo ya kubashiri nchini ya SportPesa Limited Ijumaa Septemba 13, 2017 imefanya mkutano na waandishi wa Habari kwa kushirikiana na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo...
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetambulisha jezi mpya zitakazotumiwa na Taifa Stars ikiwemo jezi ya nyumbani, jezi ya ugenini na jezi namba tatu.
Oktoba 11, 2020 Tanzania itacheza mchezo wa...
Leo Simon Msuva alipokuwa JKNIA amesema anatamani na atawasaidia mabondia wa Tanzania.
Mytake
Ni kama vile diamond alivyotuaminisha anahela ya kununua timu ya vpl ,halafu ikatokea mbao inauzwa...
Arsenal walidhani kabisa wanaenda kuuwa tembo kwa ubua kwamba wana kikosi bora kabisa.
2. Arsenal waliingia wanjani na matokeo yao mfukoni,tena wakiwa na kumbukumbu za mechi ile ya ngao ya jamii...
Benki ya CRDB imetangaza udhamini wa shilingi milioni 200 kwa ligi ya mpira wa kikapu ya taifa 2020 itakayofanyika Dodoma katika viwanja vya Chinangali kuanzia tarehe 12 Novemba na kilele chake ni...
TFF msije kusema hamukuambiwa, Mechi ya Simba na Yanga kuchezwa tarehe 18/10/2020 siku 9 kabla ya siku ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaofanyika tarehe 28/10/2020 hapa kuna jambo...
Yanga ni timu yangu, lakini kwa sasa wapo desparate, wanaajiri makocha desparately, wanafukuza desparately na watafungwa na simba kwa huo udesparate wao. Nawanasihi watulie wafanye mipango yao kwa...
Nimetazama mechi kadhaa za Simba Sc ,hususani mechi VPL ninaona dalili za njama za kumuumiza Benard Morrison.
Faulo anazochezewa ni faulo zenye lengo zaidi ya joto la uwanjani. Kuna kitu sio...
wasalaam,
Dar kubwa ila ndogo.
Naomben msaada ni Wapi kuna ps4 kwa maeneo ya Kimara Mwisho, Bonyokwa au Segerea?
Asanten
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Mambo 10 ya Msingi yanayokera nliyoyaona katika team ya Simba
1. Nasisitiza TFF ifikirie kuongeza dakika matches za Simba. Najisikia vibaya sana kuona Simba inacheza mpira huu wa kwenye game...
Kibongo bongo hutakiwi kushangaa,timu inafanya vizuri kwa mara ya kwanza tena kipindi cha pili baada ya misuko suko ya kutosha,kisha unasikia kocha amefukuzwa.
Nini kipo nyuma ya maamuzi haya...
aseee Moyo wangu umetuliaaa baada ya kipigo cha mbwaa koko alichokutana nacho Liverpool wakiwa 11 uwanjani
Asante Liverpool .. sasa maumiv angu yametulia[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.