Kuwa shabiki wa Simba Sports Club tayari unakua ushahitimi elimu ya msingi hata kama hujakanyaga shule

teetotaller

JF-Expert Member
Dec 16, 2014
307
203
NIMEONA KUKAA KIMYA SIYO BUSARA SANA NAOMBA NA MIMI NIJARIBU KUSAIDIIA KWENYE HILI,

Picha ambazo zinaonekana hapo chini za Bernard Morrison ambazo walipost simba sports club kabla ya kesi kumalizika pale tff zilikuwa danganya toto tu,

Bernard Morrison alikuwa hajasaini chochote katika club ya simba sports club hapo kwenye hizo picha hapo alikuwa anawazuga tu,utopolo fc,

Ukweli ni kwamba Bernard Morrison BM 3 alisaini simba sports club baada ya kesi yake kumalizika na yeye kuibuka mshindi,hizo picha hapo chini ndiyo mkataba walionao utopolo fc ambao wanadai kwamba unamapungufu na kweli unamapungufu maana ulikuwa feki,

kama utopolo fc wanautaka mkataba wa Bernard Morrison na simba sports club waende tff au FIFA wataukuta ule original huo walionao sasa waliingizwa chaka na simba sports club,

simba sports club waliamua kutumia akili hiyo kwa kuhofia endapo utopolo fc wangeshinda kesi dhidi ya Bernard Morrison ina maana simba sports club ingekula kwao,ndiyo maana wakatumia akili hizo,

simba sports club walifanya hivyo bila kumshirikiisha aliyekuwa CEO wa club hiyo maana SENZO tayari walikuwa wameshakosa imani naye., kwa hiyo naomba ieleweke kwamba mkataba walionao utopolo fc ni feki.

asanteni
FB_IMG_1601719668613.jpg
View attachment 1589063
 
asanteniView attachment 1589064View attachment 1589063
Wewe ni la saba au la sita ?
 
Kweli Mwenyekiti wenu mstaafu Ismail Aden Rage aliwaza mbali sana kuwaita mbumbumbu!

Sasa kuna uhusiano gani kati ya hiyo ishu ya Morrison na kuhitimu elimu ya Msingi kwa mashabiki wa Simba!!
 
NIMEONA KUKAA KIMYA SIYO BUSARA SANA NAOMBA NA MIMI NIJARIBU KUSAIDIIA KWENYE HILI,

Picha ambazo zinaonekana hapo chini za Bernard Morrison ambazo walipost simba sports club kabla ya kesi kumalizika pale tff zilikuwa danganya toto tu,

Bernard Morrison alikuwa hajasaini chochote katika club ya simba sports club hapo kwenye hizo picha hapo alikuwa anawazuga tu,utopolo fc,

Ukweli ni kwamba Bernard Morrison BM 3 alisaini simba sports club baada ya kesi yake kumalizika na yeye kuibuka mshindi,hizo picha hapo chini ndiyo mkataba walionao utopolo fc ambao wanadai kwamba unamapungufu na kweli unamapungufu maana ulikuwa feki,

kama utopolo fc wanautaka mkataba wa Bernard Morrison na simba sports club waende tff au FIFA wataukuta ule original huo walionao sasa waliingizwa chaka na simba sports club,

simba sports club waliamua kutumia akili hiyo kwa kuhofia endapo utopolo fc wangeshinda kesi dhidi ya Bernard Morrison ina maana simba sports club ingekula kwao,ndiyo maana wakatumia akili hizo,

simba sports club walifanya hivyo bila kumshirikiisha aliyekuwa CEO wa club hiyo maana SENZO tayari walikuwa wameshakosa imani naye., kwa hiyo naomba ieleweke kwamba mkataba walionao utopolo fc ni feki.

asanteniView attachment 1589064View attachment 1589063
Naam nahapa utopolo wasipo elewa basi vichwani mwao kutakua kume jaa zile mende za chooni
 
ni ngumu sana kuwaelewesha utopolo , Mwakalebela anakwenda kuaibika mara ya pili na waandishi wake uchwara
 
NIMEONA KUKAA KIMYA SIYO BUSARA SANA NAOMBA NA MIMI NIJARIBU KUSAIDIIA KWENYE HILI,

Picha ambazo zinaonekana hapo chini za Bernard Morrison ambazo walipost simba sports club kabla ya kesi kumalizika pale tff zilikuwa danganya toto tu,

Bernard Morrison alikuwa hajasaini chochote katika club ya simba sports club hapo kwenye hizo picha hapo alikuwa anawazuga tu,utopolo fc,

Ukweli ni kwamba Bernard Morrison BM 3 alisaini simba sports club baada ya kesi yake kumalizika na yeye kuibuka mshindi,hizo picha hapo chini ndiyo mkataba walionao utopolo fc ambao wanadai kwamba unamapungufu na kweli unamapungufu maana ulikuwa feki,

kama utopolo fc wanautaka mkataba wa Bernard Morrison na simba sports club waende tff au FIFA wataukuta ule original huo walionao sasa waliingizwa chaka na simba sports club,

simba sports club waliamua kutumia akili hiyo kwa kuhofia endapo utopolo fc wangeshinda kesi dhidi ya Bernard Morrison ina maana simba sports club ingekula kwao,ndiyo maana wakatumia akili hizo,

simba sports club walifanya hivyo bila kumshirikiisha aliyekuwa CEO wa club hiyo maana SENZO tayari walikuwa wameshakosa imani naye., kwa hiyo naomba ieleweke kwamba mkataba walionao utopolo fc ni feki.

asanteniView attachment 1589064View attachment 1589063
Tff Ina dhamana kubwa na maswala ya mpira hapa nchini, Simba ni club ya muda mrefu. Niliamini pande hizo mbili kwa jambo moja na wakati mmoja hawawezi mhalalisha mchezaji kwa aina ya mkataba unaoongelewa.
 
Back
Top Bottom