Asante Liverpool kwa kunifuta machozi

aseee Moyo wangu umetuliaaa baada ya kipigo cha mbwaa koko alichokutana nacho Liverpool wakiwa 11 uwanjani

Asante Liverpool .. sasa maumiv angu yametulia

#man_uTd forever
#love u Manchester United
Haipunguzi ukweli kuwa wote wamegongwa 5 bila. Liverpool ni litimu lililochoka kwa sasa, saa yoyote tegemea chochote, huyu UTD ana shida gani eti?
 
Screenshot_20201004-234414~2.png
 
Acha kudanganya watu wee kipigo kinakuuma palepale
aseee Moyo wangu umetuliaaa baada ya kipigo cha mbwaa koko alichokutana nacho Liverpool wakiwa 11 uwanjani

Asante Liverpool .. sasa maumiv angu yametulia

#man_uTd forever
#love u Manchester United
 
Kufungwa kwa Liver kuna maliza matatizo yaliyopo kwenye team yako? Unjua njia unayotumia kujifariji inashangaza sana kama kweli wewe ni shabiki wa Manu.
Pole sana mkuu, mchukulie poa huyo kijana.
Nadhani ndo furaha yake kuona Liver kapigwa 7--2.
Hivi Sarah na Money walicheza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom