TFF mnasubiri mpaka mtu afe ndio muwafungie mashabiki wa Yanga kuingia uwanjani?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
48,762
102,112

Mnataka wafanye nini tena ndio mchukue hatua kali. Wapeni adhabu ya kutoingia uwanjani msimu mzima. Haiwezekani watu na akili zetu tunaenda kuangalia soka tunakutana na mambo ya kipumbavu toka kwa watu wale wale.

Nashauri klabu yangu ya Simba SC itafakari namna ya kuzuia mashabiki wa Yanga kwenye mechi zake
 
mashabiki wa yanga wanaubongo wa njiwa, hawashauriki na ukiwashurutisha kwa makosa yao utawasikia "aah siku hizi sio tu marefa hadi TFF inaibeba sana simba"
 
View attachment 1638114

Mnataka wafanye nini tena ndio mchukue hatua kali. Wapeni adhabu ya kutoingia uwanjani msimu mzima. Haiwezekani watu na akili zetu tunaenda kuangalia soka tunakutana na mambo ya kipumbavu toka kwa watu wale wale.

Nashauri klabu yangu ya Simba Sc itafakari namna ya kuzuia mashabiki wa Yanga kwenye mechi zake
Mnyero mnapenda kulalamika kama nyie amfanyi huo uhuni!
 
Attachments

  • VID-20200901-WA0010.mp4
    3.4 MB
  • VID-20200901-WA0012.mp4
    2.5 MB
Ww una eneo lako unakuja kwetu kufanyaje mkuu sis mbon hatuj kwenu haya mnakuja kwetu unaanza Kuropoka utopolo hamtok Leo unatak nn
 
Mnataka wafanye nini tena ndio mchukue hatua kali. Wapeni adhabu ya kutoingia uwanjani msimu mzima. Haiwezekani watu na akili zetu tunaenda kuangalia soka tunakutana na mambo ya kipumbavu toka kwa watu wale wale.

Nashauri klabu yangu ya Simba SC itafakari namna ya kuzuia mashabiki wa Yanga kwenye mechi zake
Mkuu, umesahau kuwaambia wana Simba wenzio wasiende mechi za Yanga.

Mwana Simba kwenda mechi za Yanga na kumwaga mitusi ni kujitafutia mkong'oto.

Eti shabiki wa Liverpool aende kutukana mechi ya Man U ikicheza na Chelsea.

Muda si mrefu itakuwa hivyo. Stay away from games that are not your business.
 
Hilo suala la shabiki wa Simba kuhudhuria games za Yanga na kinyume chake,mbona ni jambo la kawaida sana na lipo enzi na enzi? Nadhani mna stress fulani zinazowafanya muone hili jambo kuwa halikubaliki, nadhani ni kwavile hamjiamini.

Kuhusu mkao jukwaani; wewe unajua vyema kuwa pale uwanjani kuna (A)sehemu ya mashabiki wa Simba tu, (B)sehemu ya mashabiki wa Yanga tu, na (C)sehemu ya mashabiki mchanganyiko . Na hii kadhia mara nyingi inatokea hapo jukwaa C (maana hakuna shabiki mwenye akili timamu wa Simba anaweza kwenda jukwaa B, hali kadhalika wa Yanga kwenda jukwaa A, na kuanza kutukana - atakuwa hajipendi). Sasa ukiangalia kwa makini:migogoro imekuwa inatokea jukwaa 'C' sehemu ambayo yeyote anaruhusiwa kukaa na kutukana atakavyo. Sasa nyie mnataka ku-monopolize na jukwaa C? Mtakuwa na matatizo mahala.

Halafu eti unasisitiza;kwanini mtu aende kwenye mechi isiyomhusu? Hapo wala hata hakuna logic. Unataka kuniambia kwamba wikiendi ijayo Yanga hawatajitokeza kuishabikia Plateau United ya Nigeria? Kama juzi tu mlikuwa mnatoa unabii uliofeli dhidi ya Simba, na bado mmenunua jezi za Plateau mtashindwa kuibuka kwa Mkapa kuja kuizomea Simba?

Tunawakaribisha kwa Mkapa siku hiyo maana zomea zomea yenu ndo itatupa mzuka zaidi wa kuwaumiza hao Wanigeria wenzenu. Sisi hatutawafanyia vurugu ili mpate kujifunza somo la uvumilivu (tolerance) kuhusiana na kejeli za wapinzani kwenye soka.
 
Huwezi kuona logic sasa hivi kwa sababu bado tupo kwenye ujima .
Yatawezekana kila timu ikiwa na uwanja wake. Itakuwa ngumu shabiki kwenda ugenini kumwaga matusi. Wataruhusiwa kuingia kwa idadi fixed na eneo la kukaa.
Katika hali huwezi kutegemea Simba3m acheze kwake na Mbeya City halafu mashabiki wa Yanga waende huko. Au wa Simba waende Yanga ikicheza na Mwadui!
 
Ukifanya fujo,umeambiwa usifanye hiki ukaamua wewe kukaidi utapigwa tu.
 
Ni kweli, mashabiki wa Yanga ndio walifikia mpaka hatua ya kung'oa viti uwanjani

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom