Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Yaani kununuliwa tu hiyo Laptop na Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ndiyo umeamua sasa kuwa Mnazi na Mtu wa Hovyo hapo Crown FM?
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Niko nimekaa naangalia eti mnaita boxing ..huu uchafu ndio boxing ? Hata anayeshinda anashangaa ameshindaje, anatangazwaje mshindi. Wakati natafakari hayo yaliyonishangaza, picha ya Hassan...
11 Reactions
30 Replies
2K Views
Ligi Kuu ya NBC kwa msimu wa 2025/2026 inatarajiwa kuanza rasmi Septemba 16, 2025, ambapo mashabiki wa soka nchini watashuhudia tena ushindani mkali miongoni mwa vilabu vikubwa na vidogo, huku...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Sasa nyie Majirani zangu KMC FC huyo Kocha mnayemtambulisha leo hii Marcio Maximo ana jipya gani hasa la Kimpira?
1 Reactions
10 Replies
707 Views
Kwanini CHAN 2024 na si 2025. Ratiba ya kalenda ya caf huwa ni kila baada ya Miaka miwili, HII ni chan ya 8. Haijalishi huchezwa wakati upi MWAKA uhesabiwa kwa kufatana baada ya miaka miwili. Chan...
0 Reactions
3 Replies
443 Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kwanini Nasema Azam au Simba mmoja wapo atakuwa Bingwa Msimu huu? 1.Kocha Fadlu Davis amekuwa kocha wa Simba huu unaelekea msimu wa pili;mazingira ya...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka Watanzania kuwakaribisha Wageni wanaokuja kushiriki katika Mashindano ya CHAN Barani Afrika yatakayofunguliwa kesho August 2 kwa kuhimiza Utulivu...
1 Reactions
3 Replies
435 Views
Wamejikaza sana mpaka Leo wamepost video wakichana picha ya Eng Hers, Ni wazi kabisa jamaa kawatesa mno na amewakaa mno vichwani mwao maana toka jamaa atue Yanga Simba SC hawajawahi kujua utamu...
3 Reactions
10 Replies
896 Views
Gari aina ya Tata liliobeba mashabiki wa mpira kutoka Mwanza kwenda Dar kuisapoti Taifa Stars michuano ya CHAN limeketetea kwa moto baada ya kutokea hitilafu. Ajali hiyo ya moto imetokea ghafla...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Club ya Simba imeingia mikataba mingi tena minono ya mabillioni toka kampuni tofauti ambayo baadhi ya mikataba iko wazi na mingine sio wazi. Apo chini tuone mikataba na thamani zake. BETWAY:- 20...
5 Reactions
66 Replies
3K Views
Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, amesema kuwa katika shamrashamra za kuipamba michuano ya CHAN inayotarajiwa kuanza rasmi...
1 Reactions
8 Replies
597 Views
Kutokana na huu usajili wa hapa tz tutarajie ligi yenye ushindani kwa msimu wa 25/26??
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Klabu ya Simba imemsajili kiungo Mtanzania, Morice Abraham kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Spartak Subotica ya Serbia. Morice (21) alikuwa nahodha wa timu ya vijana ya Tanzania chini ya umri...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi ni Wilfred, mfanyabiashara kutoka Wilaya ya Temeke. Nilibeti TSh1,900 kwenye mechi 25 (24 kati yao zilikidhi masharti ya Bonasi ya Ushindi) na kushinda TSh25,417,020.10. Ushindi wangu...
10 Reactions
74 Replies
7K Views
Football Kenya Federation (FKF) has unveiled gaming firm SportPesa as the new title sponsor of the Kenyan Premier League starting from the 2025/26 season. The 10-year sponsorship deal is worth...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Jacob Massawe 33, nahodha wa Namungo Fc ya Ruangwa , Lindi amesaini mkataba wa mwaka mmoja kusalia klabuni hapo. Mkongwe huyu amehudumu kwa muda sasa kwenye ligi kuu huku akiwa na kiwango...
2 Reactions
14 Replies
768 Views
Kazi kwenu wachawi toka utoporo
5 Reactions
20 Replies
11K Views
Mijadala mingi inayohusiana na uhamisho wa Feisal Salum kutoka Azam kwenda Simba imejikita kwenye gharama za uhamisho huo ila ukweli ni kuwa kuna sababu tatu kuu zingine tofauti kabisa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Klabu ya simba imekamilisha usajili wa nyota wa kimataifa wa Senegal Alassane Kante anayehudumu nafasi ya kiungo wa ulinzi, akichukua nafasi ya fabice Ngoma ambaye ametangazwa kutokuwa sehemu ya...
2 Reactions
8 Replies
996 Views
Beberu la kihaya ni mjanja sana. Kaomba tenda ya bilion 5.6 kwa mwaka, Yeye kaiuza tenda kwa third party ambaye ni DIADORA (kampuni ya vifaa vya michezo kutoka Italy) kwa bilion 7.9 kwa mwaka...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…