Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

1. Man Utd 4-3 Man City (mwaka 2009.) Wakati Craig Bellamy akiisawazishia Man City dakika ya 90 na kufanya ubao usomeke 3-3 wengi waliamini mechi hiyo ingeisha kwa sare, zikaongezwa dakika 4...
10 Reactions
204 Replies
33K Views
siku za karibuni ameibuka mzee wetu anaefahamika kwa jina mzee mpili akionekana na kujinasibu kuwa yeye ana watu na mechi ya juzi ya watani yeye ndo aliicheza na mechi ya kigoma fainali ya kombe...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari za asubuhi hii wanabodi. Nimejaribu kufikiri kwa sauti kuwa Messi huwa anafanya Mambo kimya kimya. Kwa kuzingatia hilo na yeye kugoma kusaini mkataba mpya na Barcelona inadhihirisha...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Mshambuliaji wa Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini raia wa Uruguay Gaston Sirino ,30, ameeleza kusikitishwa kwake kwa vilabu vya Al Ahly na Mamelod kuchelewa kufikia muafaka wa uhamisho wake...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, Kama mkiweza kuwatambua hawa, basi Nyie ni mkongwe ktk soka [emoji2]
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama kitendo cha Morrison kunza mpira bila kusubiri amri ya mwamusi ni halali basi soka la Tanzania limefungua ukurasa mpya. Timu zitaiga kilichofanywa na simba. Hivyo, kuanzia sasa tutashudia...
2 Reactions
82 Replies
6K Views
1. Kuwaanzisha Erasto Nyoni na Bernard Morrison ambao leo ndiyo Wachezaji wa Simba SC waliocheza vibaya na Kuharibu zaidi badala ya Kuwaanzisha Muzamiru Yasini na Rally Bwalya Kiufundi...
31 Reactions
150 Replies
12K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) limetoa wito kwa viongozi wote nchini kuacha kutoa kauli zinaweza kuchochea vurugu katika mpira wa miguu. Kauli hiyo imekuja baada ya TFF kusikitishwa...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Msemaji wa Simba alipokuja redioni kuinadi mechi ya Simba na Yanga majuzi, akiwa na advataizi ya mavazi ya timu ya mpira wa baseball ya New York Yankees
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nawasalimu wakubwa habari zenu, Nashindwaga kuelewa soka la Tanzania haswa kwa upande wa Dada zetu. Asilimia 90% wanaocheza mpira wa miguu wengi wao ni ma-tomboy. Yaani utakuta mpaka bange...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Kuna timu zina wachezaji wenye majina makubwa lakini sio ndio garantii ya kufanya vyema hasa linapokuja suala la Tournament kubwa kama hii ya Euro 2016 ambayo itafanyika Ufaransa kwanzia 10 June...
10 Reactions
4K Replies
198K Views
Picha inajieleza,Mzee Mpili Ameridhia, kila la heri Young Africans,Mabingwa wa Kihistoria[emoji123],Yanga ya Wananchi[emoji172][emoji169]. Naiona timu yenye matokeo mkononi ikienda kula...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Sergio Ramos leo inaripotiwa kuwa atafanya vipimo vya afya Paris Ufaransa kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na PSG, Ramos atasaini mkataba wa miaka miwili.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, tangia dakika 90 ziishe (Simba 0_Yanga 1) nimebaini kupitia mashabiki kindaki ndaki wa timu hizi yakuwa ni raha sana kumfunga mtani ikiwezekana nje ndani yaani 1st & 2nd round...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wapenzi wa Yanga na Simba, Jezi zenu huwa zinavaliwa angalau siku moja kabla ya mechi,hadi siku ya mechi na baada ya mechi unaweza ukavaa kwa nusu siku hata kama umeshinda au umefungwa.Ushamba...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
#NIONAVYO MIMI: HAJI MANARA HAFAI KUWA MSEMAJI WA SIMBA SC. kwanza kabisa napenda kukiri wazi kuwa Mimi ni shabiki wa chama la wana SIMBA SC, pili nina muheshimu kaka yangu Haji Manara na nina...
4 Reactions
27 Replies
5K Views
Wazee wa michezo, huyu mwamba tunaanza kumdiscuss lini? Mdigo anaewakilisha taifa la mama yake. Damu yetu hii mbona hatuipi air time kwenye vyombo vyetu vya habari?
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Nawapongeza yanga kwa ushindi wa jana lakini nawakumbusaha tu kuwa jana refa alitunyima penati halali kabisa beki wa yanga aliunawa mpira ndani ya box Wachambuzi (takataka) wamenyamaza kimya kama...
5 Reactions
52 Replies
4K Views
01. Kibwana Shomari [emoji1241] 02. Adeyum Saleh [emoji1241] 03. Dickson Job [emoji1241] 04. Bakari Mwamnyeto [emoji1241] 05. Zawadi Mauya [emoji1241] 06. Deus Kaseke [emoji1241] 07. Feisal Salum...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakala wa Cristiano Ronaldo, Jorge Mendes anafanyia kazi mpango wa kuongezwa kwa mkataba nyota huyo wa kusalia Juventus kwa mwaka mmoja zaidi utakaomfunga mshambuliaji huyo wa Ureno kuendelea...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom