Yanga, wanachana na mashabiki wake wanamuamini kweli Mzee Mpili?

Jul 5, 2021
5
5
siku za karibuni ameibuka mzee wetu anaefahamika kwa jina mzee mpili akionekana na kujinasibu kuwa yeye ana watu na mechi ya juzi ya watani yeye ndo aliicheza na mechi ya kigoma fainali ya kombe la azam sport imeshaisha asilimia 90 kuwa yanga anashinda!!!je umnamuamini kweli wanayanga uyu mzee? mimi binafsi namuona mjanja mjanja tu wa mjini tu

FB_IMG_16255563403998890.jpg
 
View attachment 1843018
Mzee Haji Omar Mpili... kama unabisha nguo nyeupe ina kuhusu
 
Huyu mzee kuna siku atawaharibia hadi watajuta maana noana kuna vi fuse fulani vimelegea kichwani mwake. Interview zake nyingi zina matusi ambayo hayastahili kutamkwa hadharani
 
siku za karibuni ameibuka mzee wetu anaefahamika kwa jina mzee mpili akionekana na kujinasibu kuwa yeye ana watu na mechi ya juzi ya watani yeye ndo aliicheza na mechi ya kigoma fainali ya kombe la azam sport imeshaisha asilimia 90 kuwa yanga anashinda!!!je umnamuamini kweli wanayanga uyu mzee? mimi binafsi namuona mjanja mjanja tu wa mjini tu

View attachment 1843018
Kwani huko Utopolo kuna mwenye akili timamu?
 
Back
Top Bottom