Ni Raha sana kumfunga mtani kuliko kubeba Kombe

Sheikh23

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,128
1,842
Habari wanajamvi, tangia dakika 90 ziishe (Simba 0_Yanga 1) nimebaini kupitia mashabiki kindaki ndaki wa timu hizi yakuwa ni raha sana kumfunga mtani ikiwezekana nje ndani yaani 1st & 2nd round kuliko kuchukua kombe la ligi(Vpl).

Utafiti huu umehusisha wapenzi wa SSC na Young Africans, nikimaanisha watani wa jadi wa timu za Bongo,sio shabiki,tuelewane sio shabiki,hii scenario ni kwa wapenzi wa hizi timu,wewe kama umeanza kuifatilia Simba au Yanga kwa kumuona mjomba wako anashabikia huwezi kunielewa kwenye hili.

Naomba kuwasilisha.

View attachment 1841193
 
Na siku hizi CAF wamebadilisha kanuni ukimfunga mtani unacheza club bingwa.
#Poor yanga
 
Mnajipa moyo tu ukweli mnaujua kumfunga mtani ni mechi kama kumfunga Mwadui tu ila ubingwa ni muhimu kuliko kitu chochote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom