Tanzania kwanini tuko kimya kwa Yussuf Poulsen?

MICSIMON

Member
Jan 6, 2013
41
13
Wazee wa michezo, huyu mwamba tunaanza kumdiscuss lini?

Mdigo anaewakilisha taifa la mama yake.

Damu yetu hii mbona hatuipi air time kwenye vyombo vyetu vya habari?

YP.jpg
 
Unataka apewe promo ya nini wakati ye mwenyewe kashaikacha Tanzania na kaamua kuchezea Denmark?

Mwangalie Collum Hudson Odoi alipokosa nafasi England kaamua kurudi Ghana
 
Huyo dogo huwa namsikia sana lakini sijawahi kuona kipaji chake, tusimkomalie tu kwasababu anatoka nje.
 
Unataka apewe promo ya nini wakati ye mwenyewe kashaikacha Tanzania na kaamua kuchezea Denmark?

Mwangalie Collum Hudson Odoi alipokosa nafasi England kaamua kurudi Ghana
Sijui Kama unafuatilia mambo
 
Kama mwenyewe alichagua kuwa Mdenmark kwa nini tuanze kushoboka nae?. Tutamjadili kama wachezaji wengine wa nje.
 
Back
Top Bottom