UTANGULIZI
Hakika katika msimu huu ukiondoa matokeo mbalimbali na mafaniko waliyo yapata Klubu ya Simba na mwenendo mzima wa ligi kuu bara basi moja ya jambo ambalo limeshika sana katika vichwa...
Katika kampuni ninazoziona hazijali hadhi ya mteja ni Tata.
Mabasi yao ni kama yametengenezwa VETA na wale vijana walioanza kujifunza kuunda mabodi.
Haya mabus hata ukilinganisha na coaster...
Nipende kutoa pole zangu za dhati kwa Watanzania wote pamoja na Waafrika kwa kupoteza Kiongozi jasiri na shupavu, Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli ambaye alikuwa ni Rais wa Tanzania awamu ya...
Yajayo yanafurahisha,
Lapulga amekubali kupunguza mshahara wake kwa 50% na kuamua kubakia ktk klabu yake alioanza kuitumikia tangu akiwa na umri wa miaka 13.
Griezman anarudi Atletico Madrid wao...
Jamaa aliejulikana kama "The greatest seducer of Men". Rais wa Real Madrid sasa naona ana bonge la kashfa. Audio leaks za mazungumzo yake na mtu aliemrekodi zinaachiwa.
Hadi sasa kawatukana...
Kama unafatilia haya mambo utakumbuka miezi michache iloyopita Mo ali weka post huko Twitter ya Manchester united kupewa mamia ya mabilioni kwajili ya haki miliki za matangazo, ni kwamba hii ishu...
Hiyo ni baada ya kuifunga Brazil kwenye final ya Copa America kwenye dimba la Maracana. Messi hapo kabla alikuwa hajawahi kushinda kombe lolote akiwa na timu yake ya taifa. Goli pekee la Argentina...
Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo kwa Viwanja tofauti, huku gumzo likiwa kwenye Uwanja wa Chamazi Complex ambapo Azam FC wanawakabili Simba SC.
Kocha Msaidizi wa Azam FC, Vivier Bahati...
Wanaojiita wananchi walipata kunena yafuatayo:
1. Hatuwezi kutumia bus la wahindi.
2. Mo hana hela, B20 imemshinda hawezi kununua Bus zuri.
3. Bus letu jipya ni kama la Madrid, Liverpool &...
Watu walio karibu na huyu mchambuzi uchwara wamshauri zaidi,atumike akiwa anatumia akili na kunena kweli. Haiwezekani watu wakutumie kwa vyovyote. Maana hata kuna malaya unaweza kuchukua lakini...
Uwanja mkubwa kuliko yote hapa nchini ni Uwanja wa Taifa (Uwanja wa Mkapa) ambao unachukua watazamaji 60,000.
Uwanja huu unamilikiwa na Serikali ulijengwa kwa ushirikiano na serikali ya China...
Msimu wa 2020-2021 umeshapata bingwa ambae ni Simba sc ,na hii ni mara ya 4 mfululizo simba sc anakua bingwa wa ligi kuu Tanzania bara.
Licha ya kua mabingwa mara 4 Simba hawaomeshi dalili za...
Unalala masikini unaamka tajiri..
Hii inawezekana tu kama una beti kibiashara zaidi.. Sio kubeti kama mchezo... Tumia akili..
Ukitaka kupiga hela za betting tumia mbinu hii ambayo imeniwezesha...
“Leonardo Bonucci and Giorgio Chiellini... they could go to Harvard University to give classes about how to be a central defender. They’re quality. When I say quality I don't just say creative...
Kiingereza
Tanzania's Giant Club and VPL Champions Simba SC have lined up Kaiser Chiefs and Kenyan international midfielder Anthony Teddy Akumu as the perfect replacement of Brazilian Gérson...
Mzee wangu aliwahi nambia vipaumbele vya Mzungu na Mswahili ni tofauti sana. Mzungu anawaza kuwa mwaka huu nataka nivumbue kitu fulani kiisaidie jamii mswahili anasema mwaka huu nikizikamata tu...
Hawa utopolo wanatumia taaluma ya mazingaombwe. Ndio maana sasa hivi Mzee mpili kwa sasa ndiye shujaa wao.
Kwa sasa wanasajili kwa ajili ya mechi za kimataifa kwani wanajua huko hayo mambo yao...