Una beti upate hela ama kufurahisha nafsi.. Kama unataka upate hela niige mimi mshindi wa Perfect 12

Kapena

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
376
507
Unalala masikini unaamka tajiri..

Hii inawezekana tu kama una beti kibiashara zaidi.. Sio kubeti kama mchezo... Tumia akili..

Ukitaka kupiga hela za betting tumia mbinu hii ambayo imeniwezesha kushinda milioni 109+ jumamosi ya juzi kutoka kampuni moja hapa bongo.

Fanya hivi:
Weka pesa kubwa ya maana kwenye mechi tatu za uhakika.
Mechi zisizidi tatu.
Acha tamaa.. Watu wengi wana beti kimaskini.. Mtu anaweka jero, au buku... Anabeti mechi 16 ili apate 8,500,000/=.
Are you crazy????

Wewe umekua mungu kujua outcome ya mechi 16 zote???
Utaendelea kuliwa vi buku buku vyako milele amina.

Mie huwa naweka minimum 10,000 kwenye mkeka wa mechi za uhakika 3 tu.

Mfano juzi kwenye hitimisho la EPL. Niliweka 30,000 nikabeti over 2.5 mechi tatu tuu za Chelsea, Tottenham na Liverpool.
Nimevuta mkwanja wangu wa uhakika.

Hii perfect 12 niliyoshinda juzi huwa siipi sana kipaumbele..
Maana probability ya kushinda ndogo mno. Anyway, kwa kuwa ni buku tuu natakiwa niweke, basi huwa hainiumi kivile.
Juzi kama zali bana, mwanaume nimelamba M zangu 109+ na ushee..

Leo ndio naenda kuchukua huo mpunga wangu benki.
Hizo milioni 9+ ndio mtaji wa kubetia. Game tatu, natia mzigo wa laki 5.

Acheni kubeti kimaskini. Weka hela kubwa mechi tatu tu.
Ukiweka 10,000 unapata 70,000 una hasara gani hapo.
 
Kumbe ni wewe, mwendo huo ndio tunautumia mkuu... Ila kumbuka hii ni bahati na sibu... Niliweka game tatu za over 2.5 na mojawapo alikuwa Real Madrid... Unajua kilichotokea? Niliweka 70K

Japo ilipotea sikuumia maana ndio mchezo ulivyo ila kila kukicha 2+ odds mpaka 3 ndio mchezo wa faida

Hongera sana mkuu
 
Usiganganye watu.

1. Hakuna bingwa wa kubeti kwa ni kila timu inayoingia kwenye mchezo inataka kushinda ama kutoshindwa (bila kujali odd zilizotolewa)

2. Hana timu dhaifu kwani matokeo haumuliwa na dakika tisini hivyo usiidharau sana timu ukaishiwa kuliwa hela zako ( kama unataka majibu kama ulivyobeti nenda kwenye hizo timu ukacheze wewe ulazimishe matokeo utakavyo)

3. Suala la kubeti timu chaeche ama nyingi risk ya kuliwa ipo pale pale

4.Unapobeti timu chache maana yake odd nazo ni chache kwa maana nyingine lazima uweke hela kubwa , na haimaanishi kwa kuwa umeweka hata timu moja basi hutoliwa

5. Mfano wa timu 3 za over 2.5 ulizocheza kwa 30,000/= nikiangalia odd zake hazizidi hata 7 na ni moja wapo ya option ambayo ina risk kubwa sana kupotea, ukirudia tena hata mara 10 yamkini ukabahatisha mara 1 tuu, na ndio chance uliyokutana nayo na usijione bingwa sana

6. Tofauti ya mtu anayebeti timu nyingi na chache ni kwamba yule anaye beti timu chache anapoteza fedha nyingi sana katika ku bet na kama ni mfanya biashara jiandae kufilisika, lakini huyo anayebiti timu nyingi anakusanya odd nyingi kwa hela kidogo na akibahatisha mara moja hata kwa miaka 5 anakuwa ametoka kama wewe ulivyobahatisha hiyo perfect 12

7.Huu ni moja kati ya mchezo hatari sana na ningekuwa na mamalaka ningefukuza makampuni yote ya kubeti na kufungia mitandao yote ya online betting Tanzania kwa kuwa inazalisha Taifa maskini, watu hawataki kufanya kazi wanatarajia miujiza, wanafunzi wanaliwa ada, wazazi wanaliwa hela za kutunza familia, wafanyabiashara wanafilisika, watumishi wa Umma hawaridhiki na mishahara kwani wanazipeleka huko, watu hawafanyi kazi ngumu kutwa kucha wanatembea na vikaratasi mfukoni,

8. Bunge lipiteshe sheria ya dharura kuzuia mchzo huu haramu ambao unashusha thamani ya shilingi kwa kasi, sijui wachumi wako wapi, sijui wizara ya fedha inasema nini kuhusu hili, hali ni mbaya zaidi ya maelezo, kampuni zinazidi kuongezeka bongo kuja kuchota hela za bure, kwa siku watu wanaliwa zaidi ya bilioni moja na mshindi wa kupata kama ulizozipata waweza kupata baada ya miezi hata minne.

9. Hapo unataka kumaanisha watu kuwa kwa kuwa wewe umebahatisha , basi kila mtu acheze na atapata kiasi kama wewe, my friend you are wrong. Hata wewe mwenyewe ukirudia hizo option ulizopata unaweza kuanza mwanzo wa msimu mpaka mwisho kila siku unaliwa tuu na haijawahi kujirudia. Kumbuka wakati wewe umebahatisha hizo ni sehemu ya kiasi kidogo cha hela za watanzania wenzako zinazoliwa na huyo kanjubai kiulaini, na sasa mmeongezewa sport pesa, wachina nao wamesambaza madude mengine yanafanana na mashine za kutolea mafuta sheli zipo karibia kila baa, vibanda vya biashara vimefungwa na kufunguliwa ma TV yanayokimbiza mbwa kila kona , sasa hapo kuna uchumi???

10. Say no to betting
 
Usiganganye watu.

1. Hakuna bingwa wa kubeti kwa ni kila timu inayoingia kwenye mchezo inataka kushinda ama kutoshindwa (bila kujali odd zilizotolewa)

2. Hana timu dhaifu kwani matokeo haumuliwa na dakika tisini hivyo usiidharau sana timu ukaishiwa kuliwa hela zako ( kama unataka majibu kama ulivyobeti nenda kwenye hizo timu ukacheze wewe ulazimishe matokeo utakavyo)

3. Suala la kubeti timu chaeche ama nyingi risk ya kuliwa ipo pale pale

4.Unapobeti timu chache maana yake odd nazo ni chache kwa maana nyingine lazima uweke hela kubwa , na haimaanishi kwa kuwa umeweka hata timu moja basi hutoliwa

5. Mfano wa timu 3 za over 2.5 ulizocheza kwa 30,000/= nikiangalia odd zake hazizidi hata 7 na ni moja wapo ya option ambayo ina risk kubwa sana kupotea, ukirudia tena hata mara 10 yamkini ukabahatisha mara 1 tuu, na ndio chance uliyokutana nayo na usijione bingwa sana

6. Tofauti ya mtu anayebeti timu nyingi na chache ni kwamba yule anaye beti timu chache anapoteza fedha nyingi sana katika ku bet na kama ni mfanya biashara jiandae kufilisika, lakini huyo anayebiti timu nyingi anakusanya odd nyingi kwa hela kidogo na akibahatisha mara moja hata kwa miaka 5 anakuwa ametoka kama wewe ulivyobahatisha hiyo perfect 12

7.Huu ni moja kati ya mchezo hatari sana na ningekuwa na mamalaka ningefukuza makampuni yote ya kubeti na kufungia mitandao yote ya online betting Tanzania kwa kuwa inazalisha Taifa maskini, watu hawataki kufanya kazi wanatarajia miujiza, wanafunzi wanaliwa ada, wazazi wanaliwa hela za kutunza familia, wafanyabiashara wanafilisika, watumishi wa Umma hawaridhiki na mishahara kwani wanazipeleka huko, watu hawafanyi kazi ngumu kutwa kucha wanatembea na vikaratasi mfukoni,

8. Bunge lipiteshe sheria ya dharura kuzuia mchzo huu haramu ambao unashusha thamani ya shilingi kwa kasi, sijui wachumi wako wapi, sijui wizara ya fedha inasema nini kuhusu hili, hali ni mbaya zaidi ya maelezo, kampuni zinazidi kuongezeka bongo kuja kuchota hela za bure, kwa siku watu wanaliwa zaidi ya bilioni moja na mshindi wa kupata kama ulizozipata waweza kupata baada ya miezi hata minne.

9. Say no to betting
Aisee
 
Bora niache Pombe kuliko kiacha KuBet yaaani ninavyopenda kuBet siwezi kuacha.
 
Unahitaji kupelekwa rehabu (sobber house) umeshakuwa adicted kama watanzania wengi walivyo na hawajui hilo, wanaishi kwa matumaini tuu, labda kesho nitapata , leo mechi moja tuu imegoma n.k, siku zinasonga na unaendelea kupoteza fedha, mipango yako yoote ya maana imesimama.
 
To be honest mkuu hii betting imenisaidia mengi sana katika maisha yangu na ni moja ya njia zangu za kupata pesa. So kama niko addicted na kupata pesa hakuna haja ya kwenda rehab...Betting ni miongoni mwa system ya kujipatia pesa na mimi nimeifanya kama moja ya Biashara zangu so mambo yanaenda vizuri sioni madhara yake... Akili inahitajika katika kufanya jambo lolote linalohusu pesa mkuu Kama ukikurupuka Hata ukifunguwa biashara inayo fika mtaji wa 100mil kama huna plan nzuri na hauja focus utafilisika tu. Is just a matter of how you plan to get profit and nothing else mkuu.
 
images
 
Unatunza hesabu ya kila unachotumia na kukipata katika mchezo huo???
 
wewe sio umejichanganya sio wewe kodi unajua ni shingapi? umetaja millioni 9 hiyo ya juu kwamba utatumia kubet hahahahahahah hapo alieshinda anapokea chini ya millioni mia.
 
Usiganganye watu.

1. Hakuna bingwa wa kubeti kwa ni kila timu inayoingia kwenye mchezo inataka kushinda ama kutoshindwa (bila kujali odd zilizotolewa)

2. Hana timu dhaifu kwani matokeo haumuliwa na dakika tisini hivyo usiidharau sana timu ukaishiwa kuliwa hela zako ( kama unataka majibu kama ulivyobeti nenda kwenye hizo timu ukacheze wewe ulazimishe matokeo utakavyo)

3. Suala la kubeti timu chaeche ama nyingi risk ya kuliwa ipo pale pale

4.Unapobeti timu chache maana yake odd nazo ni chache kwa maana nyingine lazima uweke hela kubwa , na haimaanishi kwa kuwa umeweka hata timu moja basi hutoliwa

5. Mfano wa timu 3 za over 2.5 ulizocheza kwa 30,000/= nikiangalia odd zake hazizidi hata 7 na ni moja wapo ya option ambayo ina risk kubwa sana kupotea, ukirudia tena hata mara 10 yamkini ukabahatisha mara 1 tuu, na ndio chance uliyokutana nayo na usijione bingwa sana

6. Tofauti ya mtu anayebeti timu nyingi na chache ni kwamba yule anaye beti timu chache anapoteza fedha nyingi sana katika ku bet na kama ni mfanya biashara jiandae kufilisika, lakini huyo anayebiti timu nyingi anakusanya odd nyingi kwa hela kidogo na akibahatisha mara moja hata kwa miaka 5 anakuwa ametoka kama wewe ulivyobahatisha hiyo perfect 12

7.Huu ni moja kati ya mchezo hatari sana na ningekuwa na mamalaka ningefukuza makampuni yote ya kubeti na kufungia mitandao yote ya online betting Tanzania kwa kuwa inazalisha Taifa maskini, watu hawataki kufanya kazi wanatarajia miujiza, wanafunzi wanaliwa ada, wazazi wanaliwa hela za kutunza familia, wafanyabiashara wanafilisika, watumishi wa Umma hawaridhiki na mishahara kwani wanazipeleka huko, watu hawafanyi kazi ngumu kutwa kucha wanatembea na vikaratasi mfukoni,

8. Bunge lipiteshe sheria ya dharura kuzuia mchzo huu haramu ambao unashusha thamani ya shilingi kwa kasi, sijui wachumi wako wapi, sijui wizara ya fedha inasema nini kuhusu hili, hali ni mbaya zaidi ya maelezo, kampuni zinazidi kuongezeka bongo kuja kuchota hela za bure, kwa siku watu wanaliwa zaidi ya bilioni moja na mshindi wa kupata kama ulizozipata waweza kupata baada ya miezi hata minne.

9. Say no to betting
Wengine ndo kaz yetu tumeacha madawa ya kulevya kwa ajil ya kubet
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom