denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,511
- 68,141
Hiyo ni baada ya kuifunga Brazil kwenye final ya Copa America kwenye dimba la Maracana. Messi hapo kabla alikuwa hajawahi kushinda kombe lolote akiwa na timu yake ya taifa. Goli pekee la Argentina likifungwa na Angel di Maria dakika ya 22.
Hiyo ni baada ya kupoteza final ya Kombe la dunia dhidi ya Ujerumani walipochapwa 1-0, na mara kadhaa kupoteza akiwa na Argentina kwenye mashindano ya Copa America. Likiwa ni kombe la kwanza kwa Argentina tangu mwaka 1993.
Hatua hii itamuongezea heshima na kutambulika zaidi kwani hakuwahi hapo kabla kuisaidia Argentina kupata kombe lolote licha ya kuibeba Barcelona kutwaa mataji kadhaa yakiwema UEFA Champions league, Club World Cup, La Liga, na Copa del Rey,
Hatua hii itamuondolea mzigo wa lawama uliomuandama kwa miaka kadhaa akiwa na timu yake ya taifa.
Well done Lionel Messi.