Kutokana na ukweli kua hakuna Simba bila Yanga na uwepo wa clabu moja ndio chachu ya maendeleo kwa clabu nyingine hasa zenye upinzani kama Simba na Yanga basi ni lazima hivi vilabu vitengenezewe...
Wakuu salaam,
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Euro wametoa kikosi bora cha Mashindano lakini Goal Machine Mr CR7 hajatokea ilihali yeye ndiye katunukiwa ufungaji bora.
Inawezekanaje...
After the Europa League final heartache💔 on the 26th May😁Wachezaji wao wote went to their respective national teams in search of TROPHY.....
▶Fred Brazil❌
▶Cavani...
Mfanyabiashara Mo Dewji anamiliki asilimia 49 ya hisa za Simba, Kama Simba watapata dili la kama la Yanga la bilioni 41 basi moja kwa moja asilimia 49 ya pesa hiyo itakwenda kwa Mo Dewji ambayo ni...
Jana kuna mtu anaitwa JAPHET KASILIRWA kutoka Rukwa, alikuwa mwamuzi msaidizi namba 1 Uwanja wa Taifa mechi ya Simba V Coastal.
Kayafanya mambo anayajua yeye pekeyake sababu binafsi nimefanya...
Mabingwa ni Simba Sc
Mfungaji bora ni John Bocco wa Simba Sc
Mchezaji bora ni Luis Miqsonne wa Simba Sc
Kipa bora ni Aishi Manula wa Simba SC
Beki Bora ni Joash Onyango wa Simba Sc
Hawa Simba...
Stat Leaders in UEFA Euro 2021,
Most goals - [emoji1201] Ronaldo (5)
Most assists - [emoji1237] Steven Zuber (4)
Most free kicks - [emoji1087] Damsgaard (1)
Most key passes - [emoji634] Marco...
Hili swali tuliambiwa tuwaulize GSM kama ikitokea tumekosa Ubingwa na ni kutokana na kikosi kikali ambacho Yanga tulisajili ukilinganisha na cha Simba chenye wachezaji Wazee. miaka karibia 4...
Tafteni mechi moja ya fitness ili tarehe 25 tusipoteane.
Wenzetu Simba tangu tucheze wana mechi ya pili leo wakati sisi tumepumzika wiki nzima sasa tunaburudika na kuoga noti za GSM.
Mfikishieni...
Timu ya Taifa ya Ufaransa itakuwa bingwa kwenye mashindano haya ya EURO yanayotegemewa kuanza 11/6/2021
Binafsi sijaona timu yakumsumbua France wana kila aina ya mchezaji na wamekamilika kila idara
Kwa Mambo makubwa makubwa anayoyafanya Mzee Bakhressa kwenye soka letu naamini ni kichekesho cha Mwaka kuamini Mo Dewji ndie tajiri namba moja nchini.
Kimsingi orodha ya Matajiri nchini inapaswa...
Wakati mashabiki wakiwatuliza wachezaji chipukizi waliopoteza penati zao na kusababisha England ishindwe kuondoa nuksi ya miaka 55 ya ukame wa vikombe, Gary Naville amemtaka winga wa Arsenal...
Kipindi hili gonjwa linaanza tuliwananga sana wazungu, walichukua tahadhari za msingi sana naona sasa wanaelekea kufanikiwa,
Watu wameajaa, no Barakoa.
Mama wahisha 'Chanjo'
Huku Watu wa Yanga SC wakidhani kuwa Mkataba wao waliouingia Jana na Azam Media ni mnono mpaka wanawacheka Simba SC kumbe wameula tu wa Chuya.
Taarifa za ndani kabisa ambazo msaka Habari ngumu na...
Unaweza usijue maana yake ila kuna raha sana timu yako ikiwa underdog kuishinda club kubwa.
Niko mkoani huku bado naona kuna Bajaji inatembea na bendera ya njano.Unaweza kufikiri timu yake ndio...
Jana nimeangalia mechi kupitia TV ya Kenya nikajiuliza TBC wana mpango gani na nchi hii au wao ni kusifu tu wakienda mbali ni sabasaba. Viongozi TBC jipimeni kama mko kazini.
Kwema wadau,
Katika thread hii tutakuwa tukipeana Habari za usajili wa wachezaji kwa msimu 2021/22 kutoka nchi mbalimbali na ligi mbalimbali duniani.
Kuna baadhi ya timu zimeshakamilisha usajili...
SIMBA leo wana jambo lao kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam wakati watakapotangaza ubingwa wao wa 22 katika Ligi Kuu Bara, lakini inaelezwa kipigo cha bao 1-0 ilichopewa na...
Didier Gomes amewaambia viongozi kwamba ; “Iwe iwavyo namtaka yule rasta wa Mbeya City hapa.” Kocha huyo anamaanisha wanase saini ya straika Kibu Denis ambaye watani zao Yanga nao wanamfikiria...
Heshima kwenu wakuu.
Moja kwa moja niingine kwenye maada husika, kumekua na mkanganyiko Kati ya uwekezaji uliofanya na Mo pale Simba na udhamini uliofanywa na Azam kwa wanandinga wa jangwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.