Bus la Yanga ni TATA. Utopolo acheni kutaka sifa zisizokuwa zenu

Stoik

Member
Feb 14, 2021
27
67
Wanaojiita wananchi walipata kunena yafuatayo:
1. Hatuwezi kutumia bus la wahindi.
2. Mo hana hela, B20 imemshinda hawezi kununua Bus zuri.
3. Bus letu jipya ni kama la Madrid, Liverpool & Manchester City.
4. Spea za Tata zinatumika hadi kwenye cherehani.
5. Tunashusha Bus la Bilioni 2.

Na kauli nyingi za majigambo, hapo ukiachana na majigambo ya kuchukua ubingwa kabla ya mechi Kumi.

Mwisho wa siku hakuna walichofanikiwa, Ubingwa wamekosa, na Bus lao jipya ni kampuni ya Tata.

Somo: Muache mihemko ya kitoto washabiki wa Utopolo.

Basi la Simba

IMG_6724.JPG

IMG_6725.JPG

Basi la Yanga

IMG_6737.JPG

IMG_6737.JPG

haya semen kampuni ipi imemuiga mwenzie Je SIKANIA HIRIZI amemuiga TATA au SCANIA akatoa new model inafanana na TATA

Ila SCANIA nao wana machejo yaan Gari lanYanga ukiwa mbali unaiona ni SCANIA HIRIZI ila ukiwa sogea karibu linakuwa TATA

halafu hivi hizi team haya magari wamenunua au bure maana yote yanafanana na kulipamba Azam anafanya bure au maana naona ndan vitambaa tu kama Simba
 
Wanaojiita wananchi walipata kunena yafuatayo:
1. Hatuwezi kutumia bus la wahindi.
2. Mo hana hela, B20 imemshinda hawezi kununua Bus zuri.
3. Bus letu jipya ni kama la Madrid, Liverpool & Manchester City.
4. Spea za Tata zinatumika hadi kwenye cherehani.
5. Tunashusha Bus la Bilioni 2.

Na kauli nyingi za majigambo, hapo ukiachana na majigambo ya kuchukua ubingwa kabla ya mechi Kumi.

Mwisho wa siku hakuna walichofanikiwa, Ubingwa wamekosa, na Bus lao jipya ni kampuni ya Tata.

Somo: Muache mihemko ya kitoto washabiki wa Utopolo.

View attachment 1852589
Watabisha :D :D :D :D :D :D
 
Ile scania yenye screen kila siti yule babu alikuwa kaipanda na kusema imetoka bandarini leoleo ndio hio au jamaa hujaangalia vizuri kwa nje??

kaka kaangalie tena ile video sio Scania ile ni tata

kaangalia vito vya ile gari na madirisha then angalia tena gari ya simba ndo utaona ni same brand
 
Je umesoma Uzi wa Yanga kununua Scania?

Ingekuwa wanafanya vitu vyao bila kubeza upande wa pili hapo sawa, lakini wiki sasa kelele, kumbe wao wamekuja mle mle kwenye TATA.
Oooh!! Ndio maana nikasema alietuloga ameshakufa.
 
Back
Top Bottom