Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Historia yake ni mitifuano tangu FAT na sasa TFF. Hivi hakuna kazi ingine anawezafanya? Tumechoka kusikia majina yaleyale miaka ndenda rudi huku mpira wetu ukiendelea kubaki palepale.
0 Reactions
4 Replies
956 Views
My take: Endapo Abrahmovic (mmiliki wa Chelsea) atashindwa kujieleza utajiri wake kaupataje, inaweza kupelekea anguko kuu la Chelsea FC siku si nyingi. Waingereza sasa wameamua kama mbwai na iwe...
1 Reactions
1 Replies
608 Views
Nadhani sote ni mashahidi wa kelele zilizopigwa humu baada ya England kuingiza timu zake 5 kwenye hatua ya mtoano. kelele mzilipigwa kwelikweli, kuwa England imerudi tena, mara spain hamna kitu...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
  • Redirect
The official result of the #UCLdraw. Click here:- Tazama hapa droo ya Robo fainali Michuano ya klabu bingwa Ulaya. - HEAVY NEWS MEDIA
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Barcelona v Roma Sevilla v Bayern Munich Juventus v Real Madrid Liverpool v Manchester City
0 Reactions
Replies
Views
Wakuu habari zenu? Baada ya kupatikana timu 8 katika mashindano ya uefa champions league Kesho tarehe 16 March kuanzia saa saba kamili mchana kutakuwa na upangaji wa mechi katika hatua ya...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
  • Redirect
Kam kawaida muda si muda draw itapangwa tu Barcelona iwe isiwe anapangwa na Liverpool ili apite akutane nusu fainali na timu atakayoitoa ili acheze fainali na man city Plz uzii huu usifutwe na...
0 Reactions
Replies
Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Michael Wambura ameeleza suala Kamati ya Maadili ya shirikisho ni la kimkakati zaidi na si la kisheria. Akizungumza leo jijini...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi ukifungiwa maisha na tff usishiriki masuala yoyote ya soka ni mambo yepi hasa inatakiwa usifanye? Na je ikitokea bado huyo mtu akaendelea kufanya mambo fulani ya michezo ni hatua zipi...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Kama title hapo juu inavyojieleza.Mimi kama mshabiki wa majogoo wa jiji,jana usiku nilifadhaishwa mno na uamuzi wa UEFA kuifurusha man-U katika UCL kwasababu katika mechi ya mwisho ya UCL man city...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Arsenal iwe isiwe lazima watwae EUROPA Msimu huu, vinginevyo CL wataisikia Redioni.
1 Reactions
3 Replies
560 Views
Mimi kama liverpool fan tangu enzi za gerrard houllier kwa kusema ukweli naogopa sana liverpool akipangwa na barcelona kwenye hatua ifuatayo ya 8 bora.Kama ningekuwa na uwezo basi ningependa sana...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Wawakilishi wetu watapeperusha bendera yetu ya Taifa,sema neno lolote kwao
0 Reactions
4 Replies
830 Views
  • Redirect
Makamu wa Rais wa TFF afungiwa maisha kujihusisha na kandanda na yadaiwa SIASA inahusika. Source Clouds Tv!
0 Reactions
Replies
Views
heey! najua umekuja kasi ukitaka kuporomosha data na takwimu kuhusu mchezo wa Chelsea na Timu inayo ongozwa na mchezaji bora wa dunia L.M wakati meingine hisia huweza kuwa sahihi zaidi ya hizo...
3 Reactions
90 Replies
9K Views
Mechi inapigwa muda mchache ujao, wanasoka huu ni uzi wenu wa kupeana updates kuhusiana na mechi ikiwa inaendelea. Vikosi: Barcelona: Ter Stegen; Roberto, Umtiti, Pique, Alba; Busquets, Rakitic...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Huwa najiuliza sana ni kwanini baadhi ya Watu hupenda Kuuliza kwamba hivi ni nani ameturoga Sisi Watanzania na nikawa hadi nahisi kuwa pengine hao Watu walikuwa tu wanawasingia Watanzania ila kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Redirect
KAMATI YA SHERIA NA MAADILI YA TFF imemfungia Makamu wa RAIS WA TFF MICHAEL WAMBURA Kutojihusisha na maswala ya mpira MAISHA....more news to come 1.Pole sana MURA.... 2.POLE SANA MIKIA.... 3.TFF...
0 Reactions
Replies
Views
Mchezo huu utaruka kupitia chaneli ya SS10 namba 210 ndani ya kifurushi cha BOMBA kwa shilingi elfu 19 tu. Leo hamna haja ya kwenda bandani, asanteni Dstv.
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Hakuna ajuaye ni maneno gani aliyoyasema Lionel Messi mara baada ya kufunga goli la kusawazisha dhidi ya Chelsea. Pengine kwa kuhisia yawezekana alifarijika sana baada ya kufunga goli kwenye mechi...
6 Reactions
49 Replies
6K Views
Back
Top Bottom