Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Habari wakuu, Hapa namaanisha kampuni inataka kuwekeza kwenye mpira wa miguu. Inatafita viwanja vyake, kwa kukodi au kwa kujenga. Kisha inatafuta timu na kuanzisha ligi yake. Mapato ya mlangoni...
1 Reactions
60 Replies
7K Views
Viongozi wa mtibwa wamedai kuwa baada ya kucheza Mechi yao Alhamis dhidi ya Dodoma jiji waliondoka Dodoma na kuelekea Iringa kama ratiba ilivyoelekeza lakini baadae walipokuwa Iringa walitumiwa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Leo ndio tunahitimisha Vpl mnamo maajira ya saa 10 jioni. Hizi ni baadhi ya Mechi tamu Sana, 1.coast union vs Kagera 2.Jkt Tanzania vs Mtibwa sugar 3.Mbeya city vs Biashara 4.Tanprison vs Gwambina...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya mechi ya ngao ya jamii kupigwa, ni kiashiria tosha kuwa ligi inakaribia kuanza. Timu zimejiandaa vizuri, kuanzia kwenye usajili wa vikosi vyao mpaka kwenye benchi la ufundi. Huu ni...
18 Reactions
91 Replies
9K Views
1. Farouq Shikalo 2. Shomary Kibwana 3. Adeyum Saleh 4. Dickson Job 5. Bakari Mwamnyeto 6. Tonombe Mukoko 7. Zawadi Mauya 8. Feisal Salum 9. Saido Ntibanzokinza 10. Yacouba Sogne 11. Tuisila...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Katika sakata la Yanga na Morrison mwandishi ambaye nitaendelea kumheshimu ni Geoge Ambangile. Huyu bwana alisimamia kanuni za uandishi pasipo kupendelea upande wowote. Tofauti na wale vilaza...
11 Reactions
12 Replies
5K Views
Kama inavyo fahamika kwenye ligi yoyote Dunia bingwa hua ni mmoja ,ligi kuu Tanzania bara imetamatika leo na Bingwa wa nchi Simba SC wamekabidhiwa kombe lao huku wapinzani wao wakuu Yanga SC...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Mabingwa mara nne mfululizo leo wanakabidhiwa ndoo yao wakikipiga na Namungo FC. Hii ni katika mwendelezo wa kuchukua back to back 10
5 Reactions
113 Replies
10K Views
Nimeangalia ligi kuu ya Tanzania muda mrefu sana lakini hadi sasa hakuna timu iliyofikia kiwango cha uchezaji mpira wa kuvutia kama walivyokuwa pamba ya mwanza tp lindanda ya miaka ya 1990's ,ni...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Siku ya kutamatisha ligi kama jinsi ilivyo leo kwenye ligi yetu ya VPL mechi hua nyingi na kupelekea hata chanel zisizo za michezo kuonesha mechi. Leo zipo mechi 6 na kwa kawaida mechi huwekwa...
9 Reactions
43 Replies
4K Views
Hongereni Wana msimbazi na wapenzi wa kabumbu wote " nipo katika kibanda umiza hapa tunaomba wajuzi wa mambo mtupe usahii " Ikiwa Yanga Sc atabeba kombe la FA atatakiwa kucheza Shirikisho kama...
0 Reactions
2 Replies
573 Views
Baada ya GSM kushusha Bus aina ya Scania, klabu ya Yanga imeingia kwenye orodha ya klabu zinazotumia mabasi aina ya Scannia duniani Basi hilo ambalo tayari limetoka bandarini, ni aina ya SCANIA...
16 Reactions
113 Replies
26K Views
Klabu kongwe ya Young Africans Sports Club leo inaingia mkataba na Azam Media utakaogharimu jumla ya shilingi Bilioni 34.8 (Bilioni 41 with VAT). Mkataba huu utadumu kwa miaka kumi(10) na...
35 Reactions
296 Replies
39K Views
Nime angalia mechi walio cheza Jana na Azam, Simba bado wana tatizo lilelile hawajajirekebisha, mimi sio mtaalamu wa mchezo wa mpira lakini kwa mtazamo wangu wa kawaida Simba inakosa mbinu...
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Kuna Waafrika wachache wanasababisha Waafrika wote tuonekane si tu Wapuuzi bali Washamba sana hapa duniani. Tuacheni Kukurupuka tunachekwa sana.
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu najuwa tu, huenda baadhi yetu mkaona uzi huu hapa nimeuvuta kiushabiki, la hasha! ila ni kwa kuzingatia usalama wa wachezaji na viongozi wa yanga, kutokana na jinsi Gari za kichina...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Timu ya Al Ahly imefanikiwa kutwaa taji la CAF Champions league baada ya kuifunga Zamalek magoli mawili kwa moja. Ahly walipata magoli yao kupitia kwa Al sulaya 5" na Kafsha 86". Goli pekee la...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Rais wa Shirikisho la Kimatiafa la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza timu ya Simba kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2020/2021. Katika barua yake...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Anaandika privadinho kuwa senzo aliingia dili ya kipuuzi kiasi hichi.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mapema mwaka huu wakati wa Tulia Marathon, John Bayo alialika raia wa Kenya kinyume cha utaratibu kwa kuandika barua kwenda Athletics Kenya aki-forge sahihi ya aliekua Kaimu Katibu Mkuu wa RT Bi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…