kumbe Basi jibya la yanga ni YUTONG!

chivala

JF-Expert Member
Apr 13, 2021
772
2,333
Wakuu najuwa tu, huenda baadhi yetu mkaona uzi huu hapa nimeuvuta kiushabiki, la hasha! ila ni kwa kuzingatia usalama wa wachezaji na viongozi wa yanga, kutokana na jinsi Gari za kichina zinavokosolewa kwa usalama wake mdoga, haswa Mabasi haya ya YUTONG yanatabia ya ubovu wa kuwaka moto. Tahadhari ni njema kabla ya hatari.
178429234_3824934834228383_5717169677337055883_n-ObwA3H.jpg

178429234_3824934834228383_5717169677337055883_n-ObwA3H.jpg
 
Hizo kazi za kijana mmoja graphics anajicall kareem Design KD instagram ...ya kitambo sana
 
Tata yenye bawaba ya mlango wa nyumba ktk mlango wake ni kama mmaikataa ila yenyewe inawataka..
 
Wakuu najuwa tu, huenda baadhi yetu mkaona uzi huu hapa nimeuvuta kiushabiki, la hasha! ila ni kwa kuzingatia usalama wa wachezaji na viongozi wa yanga, kutokana na jinsi Gari za kichina zinavokosolewa kwa usalama wake mdoga, haswa Mabasi haya ya YUTONG yanatabia ya ubovu wa kuwaka moto. Tahadhari ni njema kabla ya hatari. View attachment 1857289

View attachment 1857290
We mbumbu hiyo siyo yutong ni higer hiyo
 
Wakuu najuwa tu, huenda baadhi yetu mkaona uzi huu hapa nimeuvuta kiushabiki, la hasha! ila ni kwa kuzingatia usalama wa wachezaji na viongozi wa yanga, kutokana na jinsi Gari za kichina zinavokosolewa kwa usalama wake mdoga, haswa Mabasi haya ya YUTONG yanatabia ya ubovu wa kuwaka moto. Tahadhari ni njema kabla ya hatari. View attachment 1857289

View attachment 1857290
Basi limeandikwa higer wewe unaandika yutong
 
Hiyo ni idea tu ya jamaa mmoja ni designer, kazi zake huweka instagram...sio kweli ni basi halisia
 
Hiyo ni idea tu ya jamaa mmoja ni designer, kazi zake huweka instagram...sio kweli ni basi halisia
Mabasi yote ni halisi, tafauti ubora na mabasi ya kichina hayapo kwenye viwango va ubora wa kimataifa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom