John Bayo haogopi Baraza la Michezo Tanzania na Wizara inamlinda

Melubo Letema

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
306
281
Mapema mwaka huu wakati wa Tulia Marathon, John Bayo alialika raia wa Kenya kinyume cha utaratibu kwa kuandika barua kwenda Athletics Kenya aki-forge sahihi ya aliekua Kaimu Katibu Mkuu wa RT Bi Ombeni Zavala. Baadae Bi Zavala aliikana barua hiyo na kusema kua ni Makamu wa Rais wa RT John Bayo ndie alieandika barua hiyo kwa kutumia sahihi yake ambayo alikua ameiscan na kutunza kwenye Computer za Ofisi za RT.

Barua hiyo Bayo aliandika akitaja majina na Passport namba za wajariadha wa Kenya ambao ana makubaliano nao ya mgao wa zawadi iwapo watashinda.

Week ijayo kuna mbio ya Zanzibar Marathon.

Kwa kumbukumbu ya timbwili la kilichotokea kwemye Tulia Marathon ambapo wanariadha wa Tanzania walifikia hatua ya kutishia kugomea mbio hiyo kutokana na kujaza Wakenya walioalikwa na Bayo bila kufuata taratibu, mwaka huu Bayo ameamua kualika Wakenya wake kwa kuforge sahihi ya Muandaaji wa mbio hiyo ya Zanzibar (Nakala ya barua nimeinyaka na ninaambatanisha).

Ikumbukwe kwamba Chama cha Riadha Tanzania ndio pekee chenye mamlaka ya kualika wanariadha kutoka nje kuja kukimbia Tanzania.
 
Mnaogopa ushindani wa wakenya? Waje tu mwenye uwezo ashinde
 
John Bayo ni tatizo kubwa kwa riadha.
Ni wakala wa wachezaji kutoka kenya, kwenye hilo hana aibu na yuko tayari kupambana kwa kila hali kuhakikisha wanariadha wake toka Kenya wanashiriki mbio za Tanzania. Bahati mbaya sana wengi wao ni wale wanaotumia madawa ya kuongeza nguvu na wana rekodi ya kufungiwa huko kwao.
Kwenye Zanzibar Marathon ndio tutajua mbivu na mbichi. Tumeambiwa anamtumia dada anaitwa Sasha Mbote ambae ni mkenya ndio amemueka kama meneja kwenye timu ya uandaaji ya Zanzibar maratho. Amealika wanariadha zaid ya 14 kutoka kenya na anatetea maslahi ya wakenya wenzake kwa nguvu zote na baazi ya viongozi wa riadha wa kenya na Rt wamehongwa ili kufumbia macho..john Bayo tunakwambia kabisa siku zako zinahesabika, kama ni mgonjwa uko kwenye mashine ya oksijen. Wanaokulinda wote tunawajua na vikao vyenu mlivyokaa arusha tunajua..mzee jipange hatutakuacha. Bahati nzuri wewe mwenyewe unaifanya kazi yetu iwe rahisi sana maana kila siku unatibua na sasa wachezaji wameshaweka wazi kua hawakutaki.
Historia inaonyesha hua haumalizi kipindi cha uongozi..miez sita tu kula mtu ameshakuchukia.
Chadema ulikua diwani ukatimuliwa kabla ya muda kwa kula rushwa za uchaguzi wa meya wa arusha, ukawa kiongozi ARFA ukafukuzwa na kufungiwa maisha kujihusisha na mpira kwa kumpiga ngumi kocha, hata shule ulifukuzwa form two baada ya kumtia mimba mwanafunzi wa msingi..na hapa Rt hautamaliza muda wako na utaondoka kwa aibu kubwa. Tunza haya maneno tutakukumbusha siku moja.
 
Back
Top Bottom