Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ukifika Jimbo la Wisconsin Nchini Marekani, kila corner utakoyopita basi lazima utakutana na na logo yenye herufi "G"iliyozungukwa na rangi ya kijani. Herufi "G" inasimama badala ya neno Green...
2 Reactions
7 Replies
802 Views
Habari wadau. Ushauri kwa uongozi wa yanga. Kahata anatufaa sana
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Jokes: Jamaa inasemekana ana uwezo wa kupiga chenga uwanja mzima
11 Reactions
194 Replies
21K Views
Hivi karibuni kuna mwandishi mmoja wa habari za michezo aliandika kuwa eti Simba inasajili sana sana Uganda na Yanga inasajili Congo. Kukatokea viandishi uchwara vikataka kuanza kupandikiza mind...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama kawaida yao Hawachelewi kwenda CAS
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Hamna kitu nimeumia kama kuona taarifa Instagram za wachambuzi wa soka bongo kuwa Chama tayari kashapigwa bei na picha ikimwonesha yupo na Tuisila Kisinda kwenye uzi wa waarabu. Mo sijui...
6 Reactions
95 Replies
9K Views
Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wamemsajili kiungo Sharaf Eldin Shaiboub Ali Abdelrahman kutoka klabu ya Al Hilal ya Sudan. Shaiboub ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Sudan na amekuwa kiungo bora...
5 Reactions
107 Replies
13K Views
Picha ikimuonyesha Clatous Chama na Tuisila Kisinda wakiwa katika jezi za mazoezi za RS Berkane muda mchache kabla ya kuanza mazoezi hiyo jana! Picha kwa hisani ya majasusi wetu waliopo huko...
17 Reactions
101 Replies
20K Views
Wachambuzi hao wanasema kwa sasa ni kama wanadhalilishwa sana. Kila wanapoenda kupost Insta kuwa Mchezaji X anasajiliwa Simba wanakuja kukuta siye. Hata wanaposema kuwa Simba itamtangaza mchezaji...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Leo wakati Chama akiwa Live insta alimsifia Haji kitendo kile kikamkera Bilionea Moo Dewji. Dewji akamtolea uvivu Chama na kumuulza "Haji ndiye aliyekulipia ada ya uhamisho?" Kisha Dewji...
3 Reactions
89 Replies
10K Views
Wanakijiji wa Kijiji Cha Pombambili, wamefanya kongamano kupinga kuuzwa kwa Messi kwenda PSG. Kongamano limefanyika leo kijijini hapo na kuhudhuriwa na mashabiki wengi sana wa Barcelona wakiwa...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Kisha baadae huenda hata Jina lake likabadilika na ikaitwa Jangwani Mpili Utopolo Music Band a.k.a Mafuriko Original.
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Yanga imemuuza Kisinda kwa RS Berkane kwa Dola 150,000 (Sawa na Tsh MIL 347.8) Berkane pia watagharamia kambi ya 'Pre Season' ya Yanga itakayowekwa katika kituo cha michezo cha KING Mohammed VI...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Kama taarifa hii itathibitika basi Shaaban Djuma wa AS Vitta Club atakuwa anaelekea RS Berkane ya Morocco. Ikumbukwe hivi majuzi miamba ya Jangwani ilijinasibu kumpata kwa kitita cha shs bilioni...
7 Reactions
28 Replies
48K Views
Wakuu nimekuwa najiuliza kwanini wachezaji wa kibongo bado wanafeli kutusua kucheza mpira nje ya nchi kama mataifa mengine. Kila mwaka hatuuzi mchezaji wa ndani kwenda kucheza nje na ikitokea...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Kichwa cha habari chajieleza. Hivi kwenye nchi hii kuna timu ya Rugby kweli, na kama ipo ni ipi?
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni jambo le Kheri kwa Taifa kwakua sasa Tanzania inatoa timu 4 kushiriki mashindano ya kimataifa Mbili Club bingwa na mbili Shirikisho. Lakini nafasi hizi zote zinachukuliwa na timu za Tanzania...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Klabu ya Simba SC 🦁 imefikia makubaliano ya Usajili na mshambuliaji wa kimataifa wa Romania Daniel Iliuta Popa 🇷🇴 mwenye miaka 26.
7 Reactions
34 Replies
6K Views
Kwa yanayoendelea kipindi hiki kwenye soka letu.. Ni dhahiri bado tuna ushabiki wa kijima. Ila lawama zote nazipeleka kwa hawa wanaojiita wachambuzi na waandishi wetu wa michezo. Ambao...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom