Naomba kuifahamu timu ya Rugby ya Tanzania

Si lazima kila kitu, hilo lipo nje ya uwezo wetu tunaomba radhi kwa wanotaka tushiriki ili tushike mkia, mlo mmoja kwa siku haujawahi acha mtu Salama Katika michezo ya nguvu
 
Wakati umefika kwa Tanzania kuanza mchezo wa Rugby pia; ni opportunity mojawapo kwa vijana wetu "kutokea." Rugby siyo mchezo mgumu unaotaka akili nyingi kama football, na vijana wetu wengi wataumudu.
 
Rugby ni mchezo wa nguvu lakini siyo wa akili kuweza kulinganishwa na football

Hujui rugby ww kaa kimya huu mchezo unahitaji akili nyingi sana nimecheza rugby Arusha na timu ya taifa ipo sema wengi ni wazungu Ndio wanazamini Kocha anaitwa Juma kittyle mtafute Facebook utamuona na wanashiriki michuano ya Africa a
 
Wewe ndiye huna uhakika na unachosema kwani hujui kuwa mimi pia ni mchezaji sana wa rugby ingawa sasa umri hauniruhusu. Nilicheza sana rugby wakati nafanya kazi New Zealand miaka hiyo na ninaifahamu sana; uchezaji wa mpira wa miguu unahitaji akili nyingi kuliko rugby. Ni afadhali American footbal ndiyo inahitaji akili na timing nzuri sana uwanjani. Michezo yote inahitaji nguvu, na spidi za kukimbia kwa wachezaji wote

Nashukuru kusema kuwa tuna timu ya taifa ingawa sijawahi kuisikia; ni afadhali mchezo uwe promoted ufikie watanzania wengi. Miaka ya tisini kulikuwa na promotion ya billiards, na sasa hivi hata vijijini wanajua kucheza mchezo huo. Wakianza kupromote rugby mwaka huu, ni dhahiri kuwa baada ya miaka 15 mchezo utakuwa umesambaa.
 
Mimi nimecheza vyote rugby na mpira wa miguu....rugby inahitaji akili zaidi kuliko mpira wa miguu.
 
Hiyo topic tuiache tu, kwani tunaweza kubishana mpaka asubuhi. Kwanza elewa kuwa hakuna team sport ya nguvu isiyotumia akili; lakini mpira wa mikuu unahitaji akili nyingi kuliko michezo mingine, labda utakuwa unashindana na Basketball na hockey tu; na kwa pande za Amerika ya kaskazini kuna na American football pia. Lakini hiyo michezo mingine yote: Baseball, rugby, cricket inahitaji akili lakini siyo level ya football. Wakati football wanapambana kupitisha mpira katikati ya goli ambalo ni mstatili wa yadi 8 kwa futi 8 tu, rugby wao wanapambana kufika na mpira mwisho wa uwanja tu kupitia sehemu yoyote ndani ya mita 65 mpaka 70 kulingana na ukubwa wa uwanja wenyewe.

Ndiyo maana wachezaji wa football wanalipwa hela nyingi kuliko wachezaji wa mchezo mwingine wowote duniani.
 
Back
Top Bottom