Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Habari wanajamvi? Kwa siku za karibuni kila kocha akiondoka Yanga huwa anatuacha na jina. Mara tuliitwa wapumbavu, wajinga, hatuna akili, nyani, golira hayo ni baadhi tu ya majina tuliopewa na...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Team inayoongoza msimamo wa EPL ligi ni MANCHESTER UNITED Top Score anatokea MANCHESTER UNITED Top assists anatokea MANCHESTER UNITED Timu ilofunga magoal mengi ni MANCHESTER UNITED Team yenye...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Tokea tetesi za usajili zimeanza na hali ilivyoendelea hadi jana mtaani hawa jamaa zetu wamekuwa wapole kuliko kawaida hata zile jersey zao wamepunguza kuzitinga hii ni kwa utafiti mdogo...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
UNAAMBIWA SIMBA ya msimu ujao utawaona watu kutoka UGANDA, KENYA, CONGO, SENEGAL, ZIMBABWE, IVORY COST, GHANA, MALI n.k. inshort utaiona AFRIKA. YANGA ya msimu ujao utawaona watu kutoka CONGO...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya jamaa kupigwa moja pale Kinshasa na kugongwa goals 4 hapo taifa kama kawaida takataka'z zenye hasira na mafanikio ya Simba zikaja na tahmini yao zikidai kwamba AS Vita iliyopiga simba bao...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamni mbona wenzake wanajua ku balance mapenzi yao ya simba na yanga inapokuja issue ya team nyingine? Ibrahim maestro alishawahi kuwa hadi kuwa kiongozi wa simba lakini hajafikia level ya...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Brother ifunze ku balance shobo basi yaani haihitaji hata mwanasaikolojia akiangalia hiii video kujua kwamba una chuki kwa simba iliyopitiliza, Magori anaongea vitu vya maaaa unajifanya uko bize...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
Beki mwenye uwezo na sifa za kuwa sehemu ya kikosi cha Simba SC, Israel Mwenda (21) sasa ni rasmi kuwa ni mchezaji wa mabingwa wa nchi [emoji881] Karibu Mwenda. Wanasimba tunaamini utaitendea...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Habibu Kiyombo mchezaji aliyeonekana kuwa na Kipaji cha Kutisha kuanzia Simba B na baadae Mbao FC alionyesha cheche za Kufunga mabao kadri alivyojiskia, Wachambuzi uchwara wa Soka wakamjaza Upepo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Very stupid football player. Anaongea mbele ya wenzake akidhani sisi wote hatufahamu Kifaransa. Kuwa yeye ameamua kuchezea Yanga sababu kule Simba kuna ushindani sana wa namba. Hivyo anaona akija...
11 Reactions
27 Replies
4K Views
Binafsi nilimsikiliza Mohamed Dewji kuhusu utoaji wa 20 billion za hisa 49%. Huyu Bwana anaonekana anatoa hela lakini ananung'unika na kulalama kama vile mtu anaelazimishwa. Anataka aonewe huruma...
22 Reactions
201 Replies
19K Views
Kuna tetesi za chini ya kapeni zinazo sema bodi ya wakurugenzi ilipokaa kikao chake wiki kadhaa zilizo pita imeafikiana kumuomba ndugu Walace Karia aongeze idadi ya wachezaji wanaoruhusiwa kucheza...
3 Reactions
72 Replies
49K Views
Unaenda Morocco Kwa siku 10. Siku 4 ni safari ya kwenda na kurudi. Siku moja ni mapumziko. Siku 5 ni Pre-Season! Sio Bangi kweli hii? Chanzo: Twita Akaunti yake.
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Nimeangalia watani zangu leo, kwa kweli wana hali ni dhohofu lihali na mbaya sana. Triple C anatengeneza big chances nyingi sana na ananyambulika vizuri sana ila hawa wachezaji wengine sawa na...
8 Reactions
54 Replies
6K Views
Hapa hamna timu kabisa unaweza kuta mmeikamia mechi kumbe hata madogo wa U20 wangeweza kuitafuna kirahisi. Kupangiwa kiTeam ambacho kimemaliza ligi ya Nigeria nafasi ya ni sawa na kucheza na...
4 Reactions
40 Replies
5K Views
Ratiba ya hatua ya awali Car champions League ni Kama ifuatavyo. Kama Yanga atafanikiwa kusonga mbele basi atakutana na mshindi Kati ya Fasil Kenema ya Ethiopia na Al Hilal ya Sudan katka round...
2 Reactions
110 Replies
10K Views
Club za Simba na Yanga wameshindwa kabisa kubalance usajili wao na kujikita zaidi kupata first eleven ya wageni. Najiuliza aina hii ya usajili itawasaidiaje vijana wa Tanzania wanaopanga kutoka...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni habari njema sana kwa wapenzi wa soka dunia,tumeona jana ligi kuu German imerudi,hii inaatupa matumaini na ligi zingine kurudi mwishoni mwa mwezi huu zingine mwanzoni mwa mwezi ujao. Mashabiki...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Tuisila Kisinda ana miaka 21 anakimbia sana, anakimbia kama Duma. Bado umri unalipa tunamuuza kwa Usd 150,000 na kubembeleza kuwa tugharamiwe Kambi Morocco sababu Simba wameenda huko? Chama mzee...
25 Reactions
48 Replies
49K Views
Anaitwa sadio kanoute mchezaji wa team ya Taifa ya Mali. Ni 8 na kiungo mshambuliaji hasilia,Asante simba kwa hii Zawadi toka Al Ahly Benghaz. Karibu msimbazi Kanoute Karibu msimbazi fundi
9 Reactions
39 Replies
5K Views
Back
Top Bottom