Kwanini Tanzania visiwani na wao wasipeleke timu champions league?

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
964
1,687
Ni jambo le Kheri kwa Taifa kwakua sasa Tanzania inatoa timu 4 kushiriki mashindano ya kimataifa
Mbili Club bingwa na mbili Shirikisho.

Lakini nafasi hizi zote zinachukuliwa na timu za Tanzania bara japokua Visiwani pia kuna ligi na kuna timu zilizo serious ambazo zina uwezo kuliko hizi za huku ambazo hutegemea Clabu ya Simba pekee ikafanye maajabu Club bingwa ili wao waserereke .

Hivyo hizi nafasi mbili za clabu bingwa moja aende bingwa wa ligi kuu Tanzania bara alafu moja aende bingwa wa ligi ya Visiwani.

Alaf huko shirikisho ipigwe mwechi kati ya alie shila nafasi ya pili na watatu ili apatikane alie serious zaidi aende na bingwa wa FA .

Kama ikitokea Bingwa wa FA akawa ndio bingwa wa ligi basi yeye bingwa ndio apewe fulsa ya kuchagua ni nani aende kama ni Namungo ,Mwadui Coastal Ndanda sawa tu,,!
 
Kwanini mashabiki wa yanga hampendi kujenga hoja kuitetete mkaeleweka mnakomalia tu kashfa na matusi hii hali hua inasababishwa na nini kwa mashabiki wa yanga?
Kwa hiyo Bi Hindu Ni tusi mkuu. Alafu kwa taarifa yako hebu fuatilia vizuri watukanaji na waanzisha Uzi za matusi na kejeli kwa Timu yetu Ni fans wa Simba wakiongozwa na Manara na wewe mwenyewe mkuu. Hebu cheki kuanzia Jana umeanziha Uzi ngapi za kebehi kwa Yanga, maudhui ya Uzi zako Ni nini na Ni faida gani unapata. Anyway tushawaazoea always alongans thinks like you guys.
 
Ni jambo le Kheri kwa Taifa kwakua sasa Tanzania inatoa timu 4 kushiriki mashindano ya kimataifa
Mbili Club bingwa na mbili Shirikisho .

Lakini nafasi hizi zote zinachukuliwa na timu za Tanzania bara japokua Visiwani pia kuna ligi na kuna timu zilizo serious ambazo zina uwezo kuliko hizi za huku ambazo hutegemea Clabu ya Simba pekee ikafanye maajabu Club bingwa ili wao waserereke .

Hivyo hizi nafasi mbili za clabu bingwa moja aende bingwa wa ligi kuu Tanzania bara alafu moja aende bingwa wa ligi ya Visiwani.

Alaf huko shirikisho ipigwe mwechi kati ya alie shila nafasi ya pili na watatu ili apatikane alie serious zaidi aende na bingwa wa FA .

Kama ikitokea Bingwa wa FA akawa ndio bingwa wa ligi basi yeye bingwa ndio apewe fulsa ya kuchagua ni nani aende kama ni Namungo ,Mwadui Coastal Ndanda sawa tu,,!
Mkuu embu tukumbushane kidogo, kuna kipindi timu za Zanzibar zilikuwa zimepewa nafasi kushiriki michuano ya kimataifa ya CAF embu naomba niambie kwanzia wapewe hiyo nafasi ni mwaka gani timu moja wapo ya Zanzibar ilifika mahali pazuri? ili hoja yako kuwa timu za huko ni nzuri kuliko za bara iwe na nguvu

2) katika mfumo wa kikatiba kuna vitu ambavyo vipo katika muungano na vingine havipo katika muungano. Moja ya vitu ambavyo havipo katika muungano ni pamoja na hili la mchezo wa mpira wa miguu na ndio maana Zanzibar wana ligi yao na bara wana ligi yao tofauti. Na Tanzania bara ina shirikisho lao la mpira na Zanzibar pia wana shirikisho lao la mpira. Hivyo kama umeona kuna haja ya kuungana katika mashindano ya kimataifa inabidi kwanza kubadilisha mfumo wa muungano na kuifanya Tanzania bara na visiwani kuwe na ligi moja chini ya shirikisho moja la mpira.
 
Ni jambo le Kheri kwa Taifa kwakua sasa Tanzania inatoa timu 4 kushiriki mashindano ya kimataifa
Mbili Club bingwa na mbili Shirikisho.

Lakini nafasi hizi zote zinachukuliwa na timu za Tanzania bara japokua Visiwani pia kuna ligi na kuna timu zilizo serious ambazo zina uwezo kuliko hizi za huku ambazo hutegemea Clabu ya Simba pekee ikafanye maajabu Club bingwa ili wao waserereke .

Hivyo hizi nafasi mbili za clabu bingwa moja aende bingwa wa ligi kuu Tanzania bara alafu moja aende bingwa wa ligi ya Visiwani.

Alaf huko shirikisho ipigwe mwechi kati ya alie shila nafasi ya pili na watatu ili apatikane alie serious zaidi aende na bingwa wa FA .

Kama ikitokea Bingwa wa FA akawa ndio bingwa wa ligi basi yeye bingwa ndio apewe fulsa ya kuchagua ni nani aende kama ni Namungo ,Mwadui Coastal Ndanda sawa tu,,!
Mbona huwa zinashiriki
 
Tungeanza na kurekebisha Katiba ya nchi kwanza.

Katiba ya Zanzibar inasema Zanzibar ni nchi kamili na Katiba ya Jamhuri ya Muungano haijasema kama Michezo ni sehemu ya Muungano. Mambo ya Muungano yapo 22 (Michezo haimo - Hata yule mgombea aliyefungua Kesi ya uchaguzi= hawezi kushinda)

Iwapo kama michezo ingekuwa ni sehemu ya mambo ya Muungano basi ipo haja ya kufufua ile ligi ya Muungano kisha tupate wawakilishi wote wanne kupitia mashindano hayo.
 
Ni jambo le Kheri kwa Taifa kwakua sasa Tanzania inatoa timu 4 kushiriki mashindano ya kimataifa
Mbili Club bingwa na mbili Shirikisho.

Lakini nafasi hizi zote zinachukuliwa na timu za Tanzania bara japokua Visiwani pia kuna ligi na kuna timu zilizo serious ambazo zina uwezo kuliko hizi za huku ambazo hutegemea Clabu ya Simba pekee ikafanye maajabu Club bingwa ili wao waserereke .

Hivyo hizi nafasi mbili za clabu bingwa moja aende bingwa wa ligi kuu Tanzania bara alafu moja aende bingwa wa ligi ya Visiwani.

Alaf huko shirikisho ipigwe mwechi kati ya alie shila nafasi ya pili na watatu ili apatikane alie serious zaidi aende na bingwa wa FA .

Kama ikitokea Bingwa wa FA akawa ndio bingwa wa ligi basi yeye bingwa ndio apewe fulsa ya kuchagua ni nani aende kama ni Namungo ,Mwadui Coastal Ndanda sawa tu,,!
Ndo kawida mwezi ukiwa mchana! Mbumbumbu bwana, lage hakukosea
 
Back
Top Bottom