Simba Queens imepigwa mambo na kutolewa mashindanoni na mko kimya, mna siri sana machawa wa tajiri Ilivoshinda kumi, mlipiga sana kelele humu.
Shubamiti.
Twende sawa,
Jumla ya nchi 52 za Afrika ziligawanywa makundi mawili
Kundi moja kwanza ni la nchi 26 zilizo juu kwenye viwango vya fifa na kundi la pili nchi 28 walioko chini kwenye viwango...
Sasa ni Rasmi Kuwa Simba Watavaana Na TP Mazembe Kwenye Kilele Cha Simba Day.
Hii imethibitishwa na Mtendaji Mkuu wa Simba Madam Barba Kupitia Simba App.
Ushauri: Ni wakati sasa Wa vilabu vya...
Kwa mujibu wa gazeti CHAWA la HOME SHOPPING CENTRE ni kwamba kocha mwarabu toka Tunisia haridhiki na maandalizi, yaani wazungu wanasema WRITING ON THE WALL. Mwarabu alianza kusema UTOPOLO FC...
Wadau muwafikishie hizi salamu wahusika.. Sisi wauzaji tunapata tabu sana tunapofanya delivery ya jezi zenu kwa wateja kwani picha hazina uhalisia na bidhaa zenu.
wakuu kama tunavyoelewa kwamba kwa sasa hakuna klabu kubwa Africa mashariki na kati zaidi ya Simba sc
Wapenda soka wote hata wadau wa simba tulilifuatilia tukio la mwananchi yanga kupitia azam tv...
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amepanda rank na kuwa nafasi ya 13 katika Ubora wa Mabondia duniani katika uzito wake wa super welterweight.
Mwakinyo amepanda kutoka nafasi ya 24 aliyokuwa awali...
Mwarabu wa Tunisia anachonifurahisha kuna maagizo anayatoa wenye masikio na wasikie wenye macho na waone, sisi yetu macho na masikio
Mwarabu ameagiza kipa wa Mali yule anayedaka mabomu, gololi na...
Hizi sio zandani wala nini.
Bwana Eze Kamwaga anatuambia timu nyingi sana kutoka kila pembe ya Afrika wanagombania nafasi ya kushiriki simba day timu kubwa kubwa kuanzia zenye makombe nane ya...
Jean-Pierre Adams alikuwa mchezai PSG huko chini Ufaransa, baada kupata majeraha kulikuja kutokea bahati mbaya hospitalini kufanya oparesheni ambayo ilikuwa siyo na kupeleka kuwa kwenye coma miaka...
Ni katika mchezo wa kujiandaa na klabu bingwa afrika dhidi ya washindi wenzao wa pili wa ligi ya Nigeria rivers utd ambapo Yanga ilishinda goli moja dhidi ya timu ngumu kabisa ya kihistoria...
Hili jina la hii timu itakayocheza na simba litawasumbua sana mashabiki wa simba hasa kama watafungwa..,mashabiki wa yanga hawatakua na kazi kubwa sana ya kutengeneza kejeli za maudhi dhidi ya...
kaongea mengi msikilize mwenyewe ,audio ina dakika tatu, kwa kifupi anasikitika sana team yake ya utopolo fc haipo serious zaidi ya propaganda za media na mitandaoni kuongelea jezi za machampion...
Kanda ya Unaf washatoa mshindi anayeenda champions league ya wanawake africa , wana simba tuna matarajio makubwa simba ashinde zone ya cecafa huko nairobi next month na kukata ticket ila jana...
Jambo hili ni muhimu sana.Utakuta mtu anafanya personal attack kwa muwekezaji na biashara zake kisa alinyimwa mshahara anaoutaka.
Jambo hili ni ugaidi wa kibiashara na lisipoangaliwa vizuri...
Sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anayepinga uwepo wa matangazo kwenye jezi ila wengi wanaopinga wanapinga kwa hoja zifuatazo.
1. Mpangilio wa matangazo, matangazo kwenye jezi ya simba...
Mwaka 2008 Taifa Stars enzi za kocha Marcio Maximo. Enzi hizo mapenzi ya Watanzania kwa timu ya taifa ni 100%. Kuna mkasa mmoja ambao leo umenifanya nimkumbuke Cannavaro mara baada ya kumuona...
Daaahh.... Kila jersey ya Yanga moja yanga inapata faida ya Tsh 1,300. Msimu unaoisha Yanga iliingiza tsh 45,000,000 kupitia jersey. Kweli?
Kweli jamani Mnajua wakati mwingine mnasahau mnadhani...
Yaani GSM umefikia hatua ya Kulazimisha Yanga SC icheze Mechi za Kirafiki kisha mnazungumza na Mabeki wa hizo Timu wamuachie Mayele afunge Magoli ili asionekane Mzigo na kama mmesajili Garasa tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.