Simba Vs TP Mazembe: Simba day

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Sasa ni Rasmi Kuwa Simba Watavaana Na TP Mazembe Kwenye Kilele Cha Simba Day.

Hii imethibitishwa na Mtendaji Mkuu wa Simba Madam Barba Kupitia Simba App.

Ushauri: Ni wakati sasa Wa vilabu vya Simba na Yanga Kuacha Kucheza Mechi za Mchangani Bali watafute Ushindani Kwa Timu zingine kubwa Sio Kila mwaka Ni Congo, Zambia Sijui Zimbabwe Mara Kenya.

Kwa sasa Simba Kucheza na TP MAZEMBE NI MEchi Ya Mchangani Kwa Simba.
 
Aaah TP Mazembe tutawapiga nyingi ,heri wangeleta hata Zamalek ,Al Ahly ,Mamelodi au Esperance
 
Aaah TP Mazembe tutawapiga nyingi ,heri wangeleta hata Zamalek ,Al Ahly ,Mamelodi au Esperance

Tp mazembe huwa anafika hatua ya makundi kila msimu kwa miaka 10 mfululizo.. sio timu ndogo ya kuidharau .

Msimu uliopita simba ilikuwa nzuri sana na tp mazembe ilikuwa mbovu sana. Ila bado mazembe alifika hatua ya makundi.. na simba akamzidi mazembe stage moja tu mbele ya robo fainali.

Mpira wa africa una timu zake zile zile hata zikiwa mbovu bado zinafika makundi kila msimu sababu ya uzoefu
 
Simba hawana uwezo wa kuleta timu yoyote kubwa ao Mazembe Kama wangekua katika ubora wao wasingekuja kucheza na Simba ni kwakua uwezo wa kifedha na uwanjani umeshuka ndio maana wanaweza kuja.
 
Ni option nzuri maana hatujui changamoto waliyoipitia hadi kuwapata hawa ,timu za Waarabu hata zikija si kigezo kwamba tukiwafunga ndiyo tutafanya hivyo kwenye LIGI YA MABINGWA ,dhana hiyo isitukae.

At the end kwa ujirani mwema tulionao MAZEMBE bado ni giant na a team to play
 
Simba hawana uwezo wa kuleta timu yoyote kubwa ao Mazembe Kama wangekua katika ubora wao wasingekuja kucheza na Simba ni kwakua uwezo wa kifedha na uwanjani umeshuka ndio maana wanaweza kuja.
Tuache ushabiki kwenye kila kitu.

Bas na nyie mngewaleta wale vita tena mna urafiki nao kabisa.

Mbona mmeluka hapo zambia kwa second runner
 
Sasa ni Rasmi Kuwa Simba Watavaana Na TP Mazembe Kwenye Kilele Cha Simba Day.

Hii imethibitishwa na Mtendaji Mkuu wa Simba Madam Barba Kupitia Simba App.

Ushauri: Ni wakati sasa Wa vilabu vya Simba na Yanga Kuacha Kucheza Mechi za Mchangani Bali watafute Ushindani Kwa Timu zingine kubwa Sio Kila mwaka Ni Congo, Zambia Sijui Zimbabwe Mara Kenya.

Kwa sasa Simba Kucheza na TP MAZEMBE NI MEchi Ya Mchangani Kwa Simba.
Icheze na psg sio?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom