Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kesho Mungu akipenda pale uwanja wa Taifa, Yanga na TP Mazembe watakipiga. Inashauriwa sana watanzania wote tuweke uzalendo mbele eti Yanga inawakilisha nchi. Hakuna kitu kama hicho, Yanga...
15 Reactions
279 Replies
24K Views
Watu wamejazana huku nje kwenye kontena na vibandani, ni aibu sana wapi TFF mmefeli jamani Shida iko wapi, nini mmefeli TFF nimefurahi kuona watu mmejali maisha yenu kwanza Pili tff walijua...
14 Reactions
20 Replies
3K Views
Picha inayosifiwa na washabiki wa utopwinyo huko mtandaoni kwamba klabu yao ina ma misoooosiiiiiii imeleta maswali mengi sana kwa kuwa Bumbuli na mwenyekiti wa klabu wametengwa kwenye kikao cha...
7 Reactions
41 Replies
5K Views
Wakuu Kwema? Kuna Takwimu zimetolewa na TFF zikionyesha mambo mbalimbali yaliyotokea msimu ulioisha ikiwemo Timu iliyoingiza mapato mengi, Uwanja Ulioingiza Mashabiki Wengi, Timu yenye Mashabiki...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuhusu Ujio wa Cedrick Kazelona. Kuna maoni na mtazamo wa kiduwanzi sana baada ya kuona Prof Nabi anapata Msaidizi mwenye viwango vya juu kabisa vya CAF. Ni watu ambao juzi juzi tu kocha wao mkuu...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Jana nilikuwa nasubiri game ya Barcelona na Sevilla nikaona imehairishwa nikataka kujua kumetokea nini? Katika kusoma sababu nikaona kwamba La liga waliomba chama cha mpira Spain ambao ndio kama...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Yanga in top 3 coach wenye kiwango Cha kimataifa hamsemi Kesho tunashinda Tena kipindi Cha kwanza bao mbili au zaidi. Mmejificha kwenye mgogoro wakati Ni movie ya kutengeneza Kama nyie...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Aisee naona ni double diff(sijui nimeandika sahihi?) naona pia ndani kuna screens kwa mbele muonekano mzuri kwa kweli tena sana tu Moja litakuwa kwa senior team,jingine kwa simba queens,jingine...
16 Reactions
87 Replies
10K Views
Ndugu yangu wa JF Usipoteze muda na nguvu zako kunibishia au kunitukana au kunikashifu bure kwani habari hii ni ya ndani sana, ya uhakika, ya siri na imetoka kwenye vyanzo vya uhakika Ieleweke...
7 Reactions
48 Replies
4K Views
Ezekiel Kamwaga - Kaimu Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano - Simba SC HITIMISHO 1. Ukisema unaenda kuangalia timu ya mwenzako maana yake kuna kitu bora unakwenda kukiona ambacho timu yako...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Kama hutopata wasaa wa kwenda kwenye kumbi yoyote ya video.Au kwa kuitazama nyumbani au hata kwenda uwanjani direct kutokana na changamoto za kikazi nicheki Pm.Nikutumie Azam Max cracked baada ya...
0 Reactions
5 Replies
836 Views
MUOGOPE MUNGU: USIMTAJE MCHEZAJI AMBAE BADO ANACHEZA ILI USIMSABABISHIE MAZINGIRA MAGUMU KWENYE AJIRA YAKE. Wachezaji wa zamani walikuwa weledi Sana. Mchezaji wa simba hata Kama alikuwa shabiki...
3 Reactions
80 Replies
14K Views
Mkataba mwingine kwa mabingwa wa nchi wa udhamini kutoka kampuni ya Africarriers wenye thamani ya Tsh. 800 milioni. Mdhamini atatoa mabasi matatu; 🚍 Basi moja litatumiwa na Simba Senior Team 🚐...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Kumbe watu wa kada mbali mbali ni WANANCHI ndomana tukaongoza kwa mapato
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Nikiwa mwanasimba kindaki ndaki nimepokea taarifa kutoka kwa kigogo mmoja ndani ya simba kikosi kitakochoanza ni hiki hapo kesho. 1:Azim dewji 2: Kasaam dewji 3: fatuma dewji 4:ahmed dewji...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Bwana weeee kumbe viti vinakuwa mambo flani tayari hadi ukiruka kiunzi cha ule mlango wa sehemu husika kombora linachapa kwa kocha siku ya mchezo na kabla unakuwa jitu la hovyohovyo Basi ni jambo...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna jambo naliona Yanga sio zuri kwa mustakabal wa timu ya Yanga. Kwenye mambo mengi gsm wamekua hawawapi nafasi viongozi wa Yanga akiwemo Dr.Msola,Mwakalebela na viongozi wengine wa Yanga...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Barbara Gonzalez, alizaliwa jijini Dar es Salaam miaka kadhaa iliyopita, baba yake akiwa ni raia wa Colombia na Mama Mtanzania. Mbali na kuwa msaidizi wa Mohamed Dewji, pia alikuwa Mtendaji Mkuu...
10 Reactions
16 Replies
2K Views
Magoli kipa. Kalpana Nyamizi BRN Walinzi wa kushoto. mugah di matheo Van De Beek ChamasonMorisonBwalyason Walinzi wa kulia. PTER Luvanga1 Kingtox Walinzi wa kati. Viol Kifurukutu Poisonous OKW...
23 Reactions
120 Replies
7K Views
CEO wa simba anazidi kuchanja mbuga na kuonesha umahiri wake katika kufikia mafanikio ya timu kwani leo simba imeingia mkataba wa milion 800 na wababe wa wauzaji wa magari Tanzania ambao...
6 Reactions
21 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…