Kwanini GSM wana element za kuwatenga wakina Dr.Msola na Mwakalebela

busha

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
1,712
2,575
Kuna jambo naliona Yanga sio zuri kwa mustakabal wa timu ya Yanga.
Kwenye mambo mengi gsm wamekua hawawapi nafasi viongozi wa Yanga akiwemo Dr.Msola,Mwakalebela na viongozi wengine wa Yanga.
Pamoja na viongozi hao wa Yanga Dr.Msola na wengine kuunda kamati ya mashindano siku za hivi karibuni inayojumuisha watu wenye pesa na uwezo wa kukabiliana na figisu hujuma dhidi ya Yanga wakiwemo Abdallah Bin Kleb,Seif Magari na Davis Mosha lakini bado naona gsm anakaba mpaka penati.
Kumbuka gsm ni mdhamini tu,Yanga kama club inauongozi wa kikatiba wa club.
Nawasilisha.
View attachment 1950903
 
Nilijua tu hii menu ya mchana wa leo italeta mijadala.
IMG-20210924-WA0005.jpg
 
Kuna jambo naliona Yanga sio zuri kwa mustakabal wa timu ya Yanga.
Kwenye mambo mengi gsm wamekua hawawapi nafasi viongozi wa Yanga akiwemo Dr.Msola,Mwakalebela na viongozi wengine wa Yanga.
Pamoja na viongozi hao wa Yanga Dr.Msola na wengine kuunda kamati ya mashindano siku za hivi karibuni inayojumuisha watu wenye pesa na uwezo wa kukabiliana na figisu hujuma dhidi ya Yanga wakiwemo Abdallah Bin Kleb,Seif Magari na Davis Mosha lakini bado naona gsm anakaba mpaka penati.
Kumbuka gsm ni mdhamini tu,Yanga kama club inauongozi wa kikatiba wa club.
Nawasilisha.
View attachment 1950903
Na kina magoma nao umewasahau mkuu
 
Dua maalum ya kuomba usiku wa vitasa uhamie Jangwani baada kipigo cha Darby hapo kesho.

Ewe Muumba mbingu na nchi pokea dua hii maalum ya kuomba vitasa vihamie kwenye klabu ya Yanga",,,aamin.

Ewe Muumba mbingu na nchi hakikisha ngumi zitakazorushwa pale Jagwani ziwe nzito na zenye ujazo",,,aamin.

Ewe Mungu wetu kipenzi hakikisha akuna mtu ataeweza kukwepa izo ngumi pakichafuka pale Jangwani",,,aamin.

Mungu wetu kipenzi fanya miujiza Mwakalebela ajifiche chini ya stuli aingie na atoshe asionekane ili kujificha na kipigo kutoka mashabiki wenye hasira",,,aaamin.
Wote tuitikie,,aaaaamin.

Haya tuinue vichwa vyetu sasa tuendelee na majukumu mengine.
 
Back
Top Bottom