Dodoma Jiji FC kabla ya Kucheza na Simba SC kuanzia Msemaji wao, Mlezi wao Mkuu na Mbinge Antony Mavunde hadi Kiongozi wao Mwandamizi Kunambi walikuwa mara kwa mara wakizungumza, wakiitishia Simba...
Taarifa mpya zinaonyesha kwamba aliyekuwa Rais wa Chama cha Mpira wa Kikapu pedeshee Phares Magessa ameangushwa kwenye uchaguzi wa chama hicho unaoendelea .
Taarifa zaidi zitawajia hivi punde .....
kwanini walisema FORM IS TEMPORARY BUT CLASS IS PERMANENT?
Ni kwasababu walijua watatokea Watu na kutaka kufananisha Kiwango na DARAJA, ila wamesahau kuwa kuwa katika kiwango bora kwa muda mrefu...
GENTAMYCINE sijawahi Kukosea nikimpenda na Kumkubali Mtu kwani nina Jicho la Uhakika na la Kuona mbali pamoja na Ubora wa Mtu / Kitu.
Simba SC koseeni kote ila msithubutu Kumuacha (Kumtema)...
Ubingwa wa yanga msimu wa mwaka 2016/17 kadi nyekundu tisa kwa wapinzani wa yanga na penalty tisa kwa yanga
Simba vs yanga kadi nyekundu #juuko mechi ya pili kadi nyekundu kwa #abdi banda
Yanga...
Kuelekea mchezo wa Derby ya Kariakoo Jumamosi, hiki ndio kikosi changu cha first eleven kutoka Simba na Yanga, Simba wamefanikiwa kupenya wachezaji wanne tu huku Yanga wakiwa na wachezaji 7 kama...
Habarini jamani?
Naona Tanzania kuna fursa nyingi za kuanzisha klabu za michezo mingine, ukiachana na michezo kama football, boxing, basketball nk. Kuna michezo ambazo zinafaa kwa watu ambao...
Maisha yapo kasi sana, hana Al Ahly alikuwa na mechi na akashinda 4 mchezaji Luis Miquissone akachezeshwa kama beki. Sijapenda hata kidogo, waarabu wabaguzi sana
Kwanza niwe muwazi mimi ni shabiki wa Simba SC haswa. Sasa hatari ninayoiona kwa musimu huu wa ligi kuu, ni ubora alionao mtani wetu Yanga SC, bila unafiki na ushabiki hakika Yanga wanakikosi cha...
Nimekuwa na muda wa kutosha kuwafuatilia kwa kina wachezaji waliosajiliwa na mabingwa wa nchi Simba sports club. Miongoni mwahao wachezaji ni Sadio Kanuti, Peter Banda na Enoc Inonga.
Yote tisa...
Nazungumzia mwamuzi wa mechi ya Kabwili FCna wengine wanaopanga kuua move za timu zinapokwenda kufunga bila sababu yoyote.
Je posho yao inafikia hizo pesa?
Staa wa Klab ya PSG na Argentina amegundulika ana mambukizi ya ugonjwa wa uviko-19 na klabu yake imethibitisha leo.
Staa huyo tayari ashajitenga na kuna uwezekano akakosa mchezo wa French Cup...
The Blues first wore shirts with numbers during our match against Swansea City in August 1928. At the time, it was a news-worthy innovation for the game. It allowed spectators to give credit to...
Mnamsema tu Sakho, Kanute, Onyango na Verane! Tuache choyo ndugu zanguni.
Yupo Jonas Mkude Nungunungu Master anaachia miba kimya kimya. Tumpe heshima yake.
Aliyeanzisha hizi tuzo naye apewe...
Happy New Year Kwa Jamii Sports Members Wote ! Salamu za Mwaka Mpya Ziwe nanyi Popote Pale Mlipo Katika Dunia Hii Ambayo ni Sayari Ya 3
Katika NBC Premier League, leo tunauanza mwaka mpya wa 2022...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.