Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Sijui kigezo kilichotumika kumleta huyu jamaa Sadio Kanoute. Wengine watasema alikuwa kiungo bora kwenye mashindano ya CHAN 2019. Lakini huyu jamaa kifupi anachangia kuzamisha sana mtumbwi wa...
17 Reactions
130 Replies
11K Views
Wakuu Igweeeeee. Naomba radhi sana kwa wale ambao hawatapendezwa na huu Ukweli. Azam Media kwa kushirikiana na Bodi ya Ligi na TFF mmeamua kwa sababu zenu kuhujumu Soka letu katika kipengele cha...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa mwendelezo huu wa matokeo hamna namna tafuteni mwalinu mwingine inawezekana arteta hajaisoma vizuri team kuweza kuwasaidiaa.
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimekumbuka tu, ilikuwa msimu wa 2015-16, ilikuwa mara ya mwisho Utopolo wakikabidhiwa kombe lao la ligi ya Vodacom. Baada ya hapo kombe likawa chini ya mikono salama ya kitaalamu. Baada ya hapo...
25 Reactions
43 Replies
3K Views
Simba walishtuka mapema ,huu udhamini wa GSM umehamishwa kwenye marefa,hii ni aibu kubwa. Yanga hata kama mmepania ubingwa si kwa style hii,mpira umehamia kwa marefa. Ndo maana Simba ikaona ni...
10 Reactions
82 Replies
5K Views
Tukiwa tunaaga mwaka 2021, sio vibaya tukakumbushana matukio ya kimichezo yaliyotikisa mwaka, tukio lipi la kimichezo hutolisahau mwaka 2021?
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Me naenda na Chuji, najua ataniofa machaguo mengi ndani ya kikosi changu, kwanzia kukaba, kuchezesha timu na hata kuamua mechi iisheje! Wewe unamchagua nani?
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Hakuwa majeruhi na hakupangwa kwenye mechi ,leo kasajiliwa na Yanga,kama siyo match fixing ni nini? Yanga vs Biashara ,siyo Namungo Ndo maana tunakataa mmiliki wa timu awe mdhamini wa ligi.
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Wakuu, Tumekuwa Tukiona Wasanii Wa Tanzania Wakisign Deals na Kampuni mbalimbali ya Kuwa Mabalozi wa kampuni husika na Kujiingizia Kipato kikubwa kwenye Mifuko Yako, Hii inatokea hata kwa Wale...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Timu ya taifa ya Algeria wameshinda goli 2 kwa 0 dhidi ya Tunisia katika mchezo wa fainali uliyopigwa leo mazehe. Wafungaji ni, Sayoud 99 Brahimi 120+5 Wenye mpira wao bwana,,,hawatumii nguvu...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
The General Administration of Sports of China has banned football stars with tattoos from playing for the national team. The football administration published a series of guidelines which...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nataka kuweka mambo sawa hapa au kusawazisha mapema ili baadae kila mtu aweze kujua mapema. Kuna kuwa na thread nyingi sana hapa JF na hata katika blogs na posts mbalimbali juu ya Simba Sc...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Huyu winger alikuwa anasepa na kijiji. Alikuwa winga hatari kwenye kizazi cha dhahabu cha Brazil. Huku namba 10 akicheza Rovaldo, Mzee ilikuwa hatari. Ilikuwa Brazil kweli kweli.
8 Reactions
8 Replies
1K Views
Kitendo alichofanya Jana kocha wa simba kinatengeneza maswali mengi. Moja muhimu,je walimfanyia scourging ili kujua uwezo wake na nidhamu yake? Kitendo alichofanya kocha huyu inaonesha hana...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Leo ni Desemba Mosi, tumeingia mwezi wa mwisho kwa mwaka huu! Ni member gani amenogesha zaidi jukwaa hili kwa mwaka huu? Karibuni
5 Reactions
82 Replies
5K Views
Goli la Fiston Mayele ni moja kati ya magoli bora Sana duniani kuwahi kufungwa tangu mchezo wa soka uanze Tujikumbushe goli kama hili limewahi kufungwa na Cristian ronaldo akiwa pale Madrid Kwa...
9 Reactions
51 Replies
4K Views
Wanaspoti Kwanini sisi Tanzania hatuna watangazaji wa kike wa mpira wa miguu?. Tanzania alijitokeza mmoja, Sports Lady Halima Mchuka, leo ni kumbukumbu ya miaka 10 toka alipofariki, kwanini mpaka...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwa uhalisia naiona Simba ikifanya vizur sana kweny hatuna ya makundi kwa sababu timu zote alizopangiw ni za kawaida sana. Kama atashinda mechi zote za nyumban na kupata hata sare moja ugenini bas...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimosas ni wazuri na wana historia, Berkane mnawafahamu ni noma ,hiyo timu ya Niger labda nafuu. Ili Simba iongoze kundi inabidi ifanye nini? Hii timu ya Niger ipigwe nje ndani, Berkane na...
15 Reactions
82 Replies
6K Views
Mchezo wa jana uliisha kwa Azam FC ikishinda mabao manne. Lakini cha kushangaza hatujawaona wakivaa jezi yenye nembo za GSM. Je, TFF ni waongo!?
6 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom