Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nataka kuweka mambo sawa hapa au kusawazisha mapema ili baadae kila mtu aweze kujua mapema. Kuna kuwa na thread nyingi sana hapa JF na hata katika blogs na posts mbalimbali juu ya Simba Sc...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Huyu winger alikuwa anasepa na kijiji. Alikuwa winga hatari kwenye kizazi cha dhahabu cha Brazil. Huku namba 10 akicheza Rovaldo, Mzee ilikuwa hatari. Ilikuwa Brazil kweli kweli.
8 Reactions
8 Replies
1K Views
Kitendo alichofanya Jana kocha wa simba kinatengeneza maswali mengi. Moja muhimu,je walimfanyia scourging ili kujua uwezo wake na nidhamu yake? Kitendo alichofanya kocha huyu inaonesha hana...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Leo ni Desemba Mosi, tumeingia mwezi wa mwisho kwa mwaka huu! Ni member gani amenogesha zaidi jukwaa hili kwa mwaka huu? Karibuni
5 Reactions
82 Replies
5K Views
Goli la Fiston Mayele ni moja kati ya magoli bora Sana duniani kuwahi kufungwa tangu mchezo wa soka uanze Tujikumbushe goli kama hili limewahi kufungwa na Cristian ronaldo akiwa pale Madrid Kwa...
9 Reactions
51 Replies
4K Views
Wanaspoti Kwanini sisi Tanzania hatuna watangazaji wa kike wa mpira wa miguu?. Tanzania alijitokeza mmoja, Sports Lady Halima Mchuka, leo ni kumbukumbu ya miaka 10 toka alipofariki, kwanini mpaka...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwa uhalisia naiona Simba ikifanya vizur sana kweny hatuna ya makundi kwa sababu timu zote alizopangiw ni za kawaida sana. Kama atashinda mechi zote za nyumban na kupata hata sare moja ugenini bas...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimosas ni wazuri na wana historia, Berkane mnawafahamu ni noma ,hiyo timu ya Niger labda nafuu. Ili Simba iongoze kundi inabidi ifanye nini? Hii timu ya Niger ipigwe nje ndani, Berkane na...
15 Reactions
82 Replies
6K Views
Mchezo wa jana uliisha kwa Azam FC ikishinda mabao manne. Lakini cha kushangaza hatujawaona wakivaa jezi yenye nembo za GSM. Je, TFF ni waongo!?
6 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu Hii ndio LIST YA WAGOMBEA - UCHAGUZI TBF 2021 --- URAIS 1.Phares Magesa 2.Michael Kadebe UMAKAMU RAIS 1.Mboka Mwambusi 2.Rwehabura Barongo 3.Alphonce Kusekwa UKATIBU MKUU 1.Michael Mwita...
1 Reactions
1 Replies
811 Views
Na ili kuonyesha kuwa Kocha Nabi siyo 'Tulatula' kama wana Yanga SC wengi amekataa kabisa Kukiri kuwa kwa Mechi hizi za Ligi zilizochezwa tayari na Yanga SC inavyoshinda ndiyo ishara ya kuwa...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Amevunja mkataba mchana huu na kila kitu kimeenda sawa kwa pande zote mbili. Ikumbukwe mechi ya Galaxy alikuwa benchi la ufundi la Simba na Gomes akiwa jukwaani ,anapigiwa simu na Gomes afanye...
10 Reactions
68 Replies
6K Views
"Hatimaye tumeshuhudia Ushindi wa Mchongo kwa mara ya kwanza tangu tusherekee Christmas" Oscar Oscar. Tafadhali namuombea Ulinzi mkubwa.
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Huyu Mwamba wa Guinea aliyepindua serikali ameaga timu ya taifa lake kuelekea kombe la AFCON na kuwaambia " Rudini na kombe la sivyo mtarudisha hela zote tulizowekeza kwenu"
8 Reactions
32 Replies
2K Views
REJEA kichwa cha habari juu baba. Mimi mja wako naomba unipatie ujasiri mkubwa. Wa kuachana na ushabiki wa hizi timu baba. Wewe mwenyewe unazijua vyema baba. Moja ipo hapo Kariakoo nyingine huko...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
baada ya timu yetu ya taifa kubolonga katika mashindano makubwa na kushindwa kupata nafasi ya kucheza michuano mikubwa ya afrika na kombe la dunia, na mashindano mbalimbali ya soka ulaya na...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Sasa ni takribani miaka 19, toka Juma Kaseja aanze kucheza soka la Bongo haswa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Katika kipindi hiko Juma Kaseja, kuna magolikipa waliibuka, wakatamba kisha wakapotea ila...
1 Reactions
42 Replies
11K Views
Wapenzi na mashabiki wa Simba leo wanasubiri kwa hamu kujua Simba kukutana na timu zipi hatua ya makundi Kombe la shirikisho Africa. Majibu yatapatikana kuanzia saa nane mchana. Wanaotaka...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Ni Shabiki wa Simba SC Mwendawazimu pekee ndiyo ataona Vitendo alivyofanya leo Kocha Pablo kwa Mchezaji Pascal Wawa na Kugombana na akina Matola pamoja na Rweymamu ni vibaya ila kwa Watu wa Mpira...
13 Reactions
87 Replies
8K Views
#TotalEnergiesCAFCC Grp A Pyramids FC CS Sfaxien Zanaco FC Ahli Tripoli Grp B JS Kabylie/Royal Leopards Orlando Pirates JS Saoura Al Ittihad SC Grp C TP Mazembe Cotonsport FC Al...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom