Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wachezaji tajwa hapo juu Kapombe, Bocco na Manula wamejazwa mahela na GSM, ili wasifanye vizuri kwenye mechi mbalimbali za nbc premier league. Hawajitumi kabisa, wakifika 18 za mpinzani wanatoa...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Ni wazi mwanadada huyu anapitia kipindi kigumu na si ajabu hakujua ugumu wa kazi kabla ya kukubali kufanya ya kondoo katikati ya kundi la mbwa mwitu. Pengine angejua tabia na desturi za watu wa...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Hello JF members, Hebu tufahamishane majina ya utani (nicknames) ya timu za mpira wa miguu duniani. 1. Simba - wekundu wa msimbazi 2. Bournemouth - cherries 3. Norwich - the canaries Nitajie zako
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Uwanja huu ufungiwe mpaka mmiliki aweke nyasi bandia. Tope kama lote hata mpira haunogi. Ni hayo tu.
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimemtazama sana P.O SAKHO akicheza soka katika mazingira tofauti tofauti hapa Tanzania. Na pia nimekuwa nikimfuatilia Ambundo tangu akiwa Gor Mahia na Dodoma FC. Hawa ni washambuliaji wa...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Hassan zhou Awamu ya 24 ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi itafunguliwa Beijing mnamo Februari 4. Kutokana na hali ya hewa ya joto kwa mwaka mzima katika maeneo mengi ya Afrika...
0 Reactions
2 Replies
857 Views
KOCHA wa ARSENAL, Mikel Arteta amesafiri kwenda Amerika kukutana na mmiliki wa klabu hiyo Stan Kroenke huku akiwania kusajiliwa kwa wachezaji wapya. Habari hii imedhaminiwa na dar racing game...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Makamu mwenyekiti wa klabu ya YANGA FC Fedrick Mwakalebela amesema kuwa simba haiwezi. Kumaliza ndani ya top four mwishoni mwa msimu huu Mwakalebela amezitaja timu ambazo zitamaliza Top Four...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Angalia Jinsi Cameroon anavyowafanyia Figisu Team Wapinzani Wake. Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
9 Replies
987 Views
Mshambuliaji aliyetupiwa virago na klabu ya Simba, Hamisi Kiiza amesema timu hiyo ya Simba haiwezi kupata mafanikio hata kama itawasajili wachezaji wote wanaofanya vizuri Tanzania, na...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Ndiyo njia pekee ya kukimbizana na kiwango standard cha soka la dunia. Kupitia Afcon hii kama taifa tuna la kujifunza hasa tukiyaangalia mataifa madogo kama Comoro, Malawi na cape verde juhudi...
3 Reactions
3 Replies
778 Views
Ukweli ni kwamba Mukoko ni mchezaji mgumu na anayejituma zaidi uwanjani. Tatizo ni kwamba umiliki wake wa mpira hauko vizuri. Mguso wake wa kwanza wa mpira sio mzuri kulinganisha na Aucho na...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimeshangazwa sana na wachambuzi maandazi wa kibongo wakiposti mtu anayefananishwa na Manara kama mtaalamu wa kamati ya ufundi ya Malawi, kuwa ndiye amezuia Malawi wasifungwe magoli mengi. Hizi...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Mchezo wa kuwania kombe la Shirikisho ASFC utapigwa uwanja wa CCM Kirumba Mwanza 29, January,2022 hii no kwa mujibu taarifa toka TFF.
7 Reactions
59 Replies
4K Views
Thadeo Lwanga ilikuwa tusitishe mkataba wake mwezi huu kutokana na jeraha lake kuchelewa kupona na tulikuwa tayari kutafuta mbadala wake ila daktari ametuhakikishia atakuwa amepona kufikia mwisho...
10 Reactions
36 Replies
3K Views
Wasalamu in the name of football. Kuna haja ya kuwa na mjadala wa kitaifa wa kwanini hatufanikiwi katika mpira wa miguu hasa timu yetu ya Taifa yaani Taifa Stars. Ni aibu sana, watanzania...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Tukiwa tunaendelea na ligue ya NBC kwenye mzunguko wa 13 hatimaye takwimu za timu ambazo zinapiga pasi nyingi uwanjani pia zimetolewa Kama ifuatavyo 1. Young Africans ___pasi .5130 2. Azam fc...
5 Reactions
25 Replies
7K Views
Pichani, huyo mwamba anaitwa Richard Justine,ndiye kit manager wa Malawi National team. Mwamba panga pangua,hiyo nafasi ya kit manager humtoi,kama kazaliwa nayo vile,ni moja ya watu muhimu sana...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Ninaangalia hii game ya Afcon kati ya Cape Verde na Senegal , kiukweli hii red card aliyopewa huyu mchezaji wa Cape Verde siyo Sahihi . Nikilinganisha na yaliyotokea jana kati ya Wenyeji Cameroon...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Utaratibu mzima wa uandaaji wa mashindano ni hovyo (muingiliano wa ratiba na ligi kubwa duniani, mpangilio wa taratibu za msingi, usalama wa watazamaji n.k) Ubora duni wa waamuzi Pira bovu...
1 Reactions
0 Replies
672 Views
Back
Top Bottom