Majina ya utani ya Timu za Mpira wa Miguu Duniani

suri

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
404
260
Hello JF members,

Hebu tufahamishane majina ya utani (nicknames) ya timu za mpira wa miguu duniani.
1. Simba - wekundu wa msimbazi
2. Bournemouth - cherries
3. Norwich - the canaries

Nitajie zako
 
Hello JF members,

Hebu tufahamishane majina ya utani (nicknames) ya timu za mpira wa miguu duniani.
1. Simba - wekundu wa msimbazi
2. Bournemouth - cherries
3. Norwich - the canaries

Nitajie zako
Yanga - YEBOYEBO,UTOPOLO,VYURA,MANYANI,MAZUZU,WAMATOPENI,.....

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Man city -ze cityzen

Chelsea - ze blues

Man utd - manyunbu red devil

Liverpool - majogoo wa anfield

Spurs - the kuku
 
Hello JF members,

Hebu tufahamishane majina ya utani (nicknames) ya timu za mpira wa miguu duniani.
1. Simba - wekundu wa msimbazi
2. Bournemouth - cherries
3. Norwich - the canaries

Nitajie zako
Hayo sio majina ya utani ni AKA tu..., yaani majina ya kujinasibu....

Majina ya utani ni kama Glory Boys (Mashabiki wa Man U); Utopolo, Vyura

The Frogs (French National Team) sababu wafaransa wanakula vyura....

Wekundu wa Msimbazi, The Red Devils, The Gunners, The Magpies n.k. hata washabiki wenyewe wanajitambulisha kwa majina hayo..., majina ya utani ni yale washabiki wa timu pinzani wanawatania na nyie mnakasirika hampeni hayo majina
 
Simba ina washabiki wakorofi sana.

Mama J fc? Utopolo? Kandambili? Halafu wao wanaitwa tu Makolokolo tena jina lenyewe jipya, limekuja baada ya kumsaliti manara.
 
Back
Top Bottom