Ushirikina umeanza uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, Makomandoo Simba na Yanga waumizana

Mwishokambi

JF-Expert Member
Nov 23, 2020
303
1,158
Mimi nashangaa kweli soka letu la bongo, Yanga wanaelekea kutwaa ubingwa msimu huu lakini mara baada ya mpira kuisha, wakaanza kufukia vitu uwanjani.

Makomandoo wa Simba walipoona hivyo, wakazama uwanjani na mwenda kuchimbia vya kwao, sasa najiuliza Yanga anasema ana timu nzuri haijapata kutokea, ushirikina wa nn sasa, we c unajua soka, mambo ya kalungayeye ya nini?

Simba nao wametoka kushiriki ligi ya mabingwa lakini kila kukicha mambo ya kufukiza ndio hayo hayo.

Simba na Yanga wote vichaka vya wapigaji tu
 
Huna sababu ya kuihusisha Yanga na hivyo vitendo vya kishirikina kama huna ushahidi ulio jitosheleza! Timu inayo jihusisha na vitendo vya kishirikina ni Simba! Na ushahidi uko wazi kabisa.

Mfano ni kwenye mechi na Fc Platinum ya Zimbabwe, na pia kwenye mechi na Orlando Pirates ya Afrika Kusini! Dunia nzima inatambua simba ndiyo timu inayoamini katika hivyo vitendo! Na siyo Yanga.
 
Sisi yanga tuliwaloga prison ili tupate sare
 
Simba inatambulika na CAF kama JUJU fc bahati nzuri Yanga Wanafahamu njia za Simba Kwaiyo ata walale uwanjani wakiloga watafungwa.
Namsihi meneja wa uwanja asiruhusu Simba kuwasha moto uwanjani nyasi za Kirumba stadium ni kavu, atakuta moto umeshika majukwaa ya watazamaji na kuleta taharuki uwanjani.
 
Haahaaaa

Yaah ni kweli mkuu coz watu hupata umaarufu mkubwa kwa kufanya vitu vya kijinga na kipumbavu,hasa hasa kufanya uchawi mbele ya umma mchana kweupe peee
hawa vipi
 
Attachments

  • 71880A06-B670-4BCB-BEEC-A11BE359D864.jpeg
    71880A06-B670-4BCB-BEEC-A11BE359D864.jpeg
    68 KB · Views: 15
Simba inatambulika na CAF kama JUJU fc bahati nzuri Yanga Wanafahamu njia za Simba Kwaiyo ata walale uwanjani wakiloga watafungwa.
Namsihi meneja wa uwanja asiruhusu Simba kuwasha moto uwanjani nyasi za Kirumba stadium ni kavu, atakuta moto umeshika majukwaa ya watazamaji na kuleta taharuki uwanjani.
kwan hawa wazee hapo utopoloni wana kazi gani
 
Attachments

  • 2486990E-11D9-4DDC-BE5C-139464E23559.jpeg
    2486990E-11D9-4DDC-BE5C-139464E23559.jpeg
    68 KB · Views: 14
Wazee wanajua kumlilia Mungu, na siunaona Mayele anavyo tetema kama zamani ndio maana nika andika njia za Simba zinafahamika vizuri na Yanga. Simba hafurukuti Kwa Yanga labda Yanga wenyewe watibuane ndipo Simba upata nafuu, lakini kwasasa Simba ataendelea kulia Kwa muda mrefu.
 
Mimi nashangaa kweli soka letu la bongo, Yanga wanaelekea kutwaa ubingwa msimu huu lakini mara baada ya mpira kuisha, wakaanza kufukia vitu uwanjani.

Makomandoo wa Simba walipoona hivyo, wakazama uwanjani na mwenda kuchimbia vya kwao, sasa najiuliza Yanga anasema ana timu nzuri haijapata kutokea, ushirikina wa nn sasa, we c unajua soka, mambo ya kalungayeye ya nini?

Simba nao wametoka kushiriki ligi ya mabingwa lakini kila kukicha mambo ya kufukiza ndio hayo hayo.

Simba na Yanga wote vichaka vya wapigaji tu
Yanga hawafanyi huo upuuzi. Bali waliwazuia wachawi fc wasifanye uchawi wao. Kwakweli Simba inaharibu sana mpira wetu

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom