Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ahlan Wasahlan wana JF Ni mtanange wa kukata na shoka baina ya Yanga Vs Simba katika nusu fainali ya kwanza ya kombe la shirikisho la Azam ndani ya dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza. Ni mchezo...
11 Reactions
715 Replies
53K Views
Kila siku watani wa jadi wanapokutana wasiwasi wangu mkubwa huwa ni Yanga kulilipa hilo deni na kusema kweli mechi ya leo hapo Kirumba nilikuwa sina raha kwani kikosi cha mnyama kilikuwa dhaifu...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Mabao ya dakika ya 15 na 48 yakifungwa na Zouhair El Moutaraji yameipa Wydad AC ya Morocco ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wababe wa Misri, Al Ahly. Al...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Hivi kwa mpira mbovu ilionao Simba kwasasa, Mashabiki kuugua magonjwa ya moyo na wengine hadi kulazwa kwa magoli ya kideoni ya wananchi, mashabiki wa Simba kupiga makonde wananchi wanapowatania...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Unapokuwa mwamba wa soka nchini kwa miaka minne mfululizo, na unapojenga sifa na heshima Afrika kwa miaka mitano, na kuwa timu pekee ya Tanzania inayojulikana huko duniani, unapokuja mwaka mmoja...
14 Reactions
25 Replies
2K Views
Baada ya kusimamishwa kuitumikia Yanga kwa muda kutokana na utovu wa nidhamu, rasmi klabu hiyo imetangaza kuachana na kiungo mshambuliaji Saidi Ntibazonkiza 'Saido' kutokana na mkataba wake...
3 Reactions
61 Replies
7K Views
huyu kocha inaonekana n kipenz Cha mwekezaj na wanasimba kwa ujumla Haiwezekani makocha karibu watatu wanafukuzwa naye akiwa kama kocha msaidizi ila yeye haguswi hata kidogo Mm nadhan Kama...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu let us think Literally. Hoja yangu ni kuwa, Sawa Pablo Leo anafukuzwa Lakini: 1. Je,kuhusu viwanja vya mikoani kuwa ni vibovu, si kweli? 2. Ugonjwa wa Simba hauna tofauti na WA...
1 Reactions
13 Replies
928 Views
Ili Ligi yetu iwe inaisha kwa wakati ni lazima TFF IBADILIKE katika kuita timu ya taifa. Mwaka jana timu ya taifa iliitwa week na kitu kabla ya mashindano na tukakosa kushiriki mashindano ya...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
KUONDOKA KWA PABLO NI SAHIHI KABISA Kocha yeye kila siku kulia Kocha amecheza mechi 4 na Yanga hajashinda hata moja hafai kuwa SIMBA Kocha hana mbinu za kuweka mpira chini, kushambulia kwa kasi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Bashiri matokeo sahihi ya kesho kati ya simba vs Yanga! mimi naenda 1-1.
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Hivi yule kocha kufanya udhalilishaji ule alikuwa ana maana gani ? Hata kama hamtaki Wawa lakini si kwa unyama aliofanya. Kiukweli nikiri kwamba jambo kama hili sijawahi kuliona kwenye soka, ni...
6 Reactions
67 Replies
5K Views
Mada hii ni yakiroho,ya jicho la tatu, haitaki matusi. Utamaduni wa kubadirishana jezi umetokea ulaya,huku kwetu hautufai kwani kwa jicho la kiroho njia rahisi ya kuua vipaji vya wachezaji...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu, Kuna kila dalili timu yetu imekuwa na underground management crisis ambayo kwa nje hatuoni. Ni vizuri tuamue hatma ya timu yetu sasa kabla haijawa worse zaidi next season. Hii timu...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Sawa. Tumekubali kwamba nyie Utopolo FC ndiyo mabingwa NBC Premier league mwaka huu. Pia mtachukua ubingwa wa Azam FA CUP. Tukutane msimu ujao Utopolo wakubwa nyie!
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Binafsi sielewi shida ni nini, Liverpool imedominate mpira, matokeo yake kombe linarudi Madrid. Hii ni changamoto kwa timu za England linapokuja suala la UEFA. Real Madrid wameingia kwenye...
10 Reactions
58 Replies
3K Views
Hawa Utopolo Simba ilipomuuza Chama walipiga domo sana,kwamba Simba imeuza mchezaji muhimu. Sasa limetokea la kutokea leo wanasema Chama amefulia ndo maana amerudi. Hawa ni haters, chuki za...
14 Reactions
38 Replies
3K Views
Ibrahim Ajibu kama ilivyokuwa kwa Jonas Mkude na wenzake kadhaa wakiwemo kina Said Ndemla, wakati wanachipukia kwenye Simba B chini ya Kocha Selemani Matola walionekana ni wachezaji wenye vipaji...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Nyie Simba SC na UTOPOLO hii game kati ya Ahly na Wydad, mnaitizama ? Mkiiangalia hii game , je itawachukua karne ngapi kufika huko? Hizo level mnaziona? Au ndio mtaendelea kumgombania chama na...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Leo tunamdunda mtu jamani My prediction Wydad Casablanca 2-1 Al ahly, FT Karibuni sana makanda wangu
0 Reactions
55 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…