Ligi Kuu kutoisha kwa wakati

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
620
759
Ili Ligi yetu iwe inaisha kwa wakati ni lazima TFF IBADILIKE katika kuita timu ya taifa.

Mwaka jana timu ya taifa iliitwa week na kitu kabla ya mashindano na tukakosa kushiriki mashindano ya kimataifa vile vile.

Ligi inasimama mpka inakera. Jiulize kwa nn ligi nchi nyingi Duniani zimeisha lakini Tanzania bado mpaka mwezi wa saba.

Na wa nane ligi ya mabingwa inaanza ina maana wachezaj hawapati muda wa kupumzika kabisa.
 
Kwa Africa, ni nchi gani wameshamaliza ligi? Safari hii wamejitahidi sana tuwape pongezi kwenye viporo. Tembelea ligi zingine Africa uone madudu wengine mpaka mwezi wa nane ndio wanamaliza ligi. Ligi ya Africa kusini ndio wao wamewahi kuhitimisha ligi lakini kwa kituko. Timu zingine zimemaliza mechi zao ikabakia Timu nne tu wanaviporo

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Ili Ligi yetu iwe inaisha kwa wakati ni lazima TFF IBADILIKE katika kuita timu ya taifa.

Mwaka jana timu ya taifa iliitwa week na kitu kabla ya mashindano na tukakosa kushiriki mashindano ya kimataifa vile vile.

Ligi inasimama mpka inakera. Jiulize kwa nn ligi nchi nyingi Duniani zimeisha lakini Tanzania bado mpaka mwezi wa saba.

Na wa nane ligi ya mabingwa inaanza ina maana wachezaj hawapati muda wa kupumzika kabisa.
Alafu sasa hii ishu ya kuwapa watu time eti timu ya taifa ijiandae ni ujinga.

Kwanza kitaalam ubora wa mchezaji uongezeka kwa kucheza mechi nyingi za kiwango cha juu. Sasa wewe sie mchezaji anacheza mechi tatu alafu kuna wiki mbili tena anapumzika. Imagine huyu ndio atategemea acheze dhidi ya mtu kama mane ambaye anatwanga saturday tuesday sunday alafu na wednesday tena mechi kali.

Sie tunajidanganya tuu. Haya simba kacheza on sunday dhidi ya polisi baadala ya jtano acheze mechi ya fa dhidi ya pamba then ndio aende sauz dhidi ya orlando pirates, mechi ya pamba inawekwa kiporo. Ujinga huo hatujengi tunaboma. Alitakiwa jtano acheze dhidi ya pamba apande ndege akacheze dhidi ya pirates.
 
Hakuna sababu ya kuweka siku nyingi kwa timu ya Taifa kujiandaa! Tutumie muda kama wa wenzetu.

Wiki 2 mpaka 3 kocha wa timu ya Taifa unaindaa timu kufanya nini! Wiki moja tu inatosha kutengeneza combination ya wachezaji.
 
Ili Ligi yetu iwe inaisha kwa wakati ni lazima TFF IBADILIKE katika kuita timu ya taifa.

Mwaka jana timu ya taifa iliitwa week na kitu kabla ya mashindano na tukakosa kushiriki mashindano ya kimataifa vile vile.

Ligi inasimama mpka inakera. Jiulize kwa nn ligi nchi nyingi Duniani zimeisha lakini Tanzania bado mpaka mwezi wa saba.

Na wa nane ligi ya mabingwa inaanza ina maana wachezaj hawapati muda wa kupumzika kabisa.
Wale wa preliminary stage mnalo😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom