Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,236
- 4,031
Nyie Simba SC na UTOPOLO hii game kati ya Ahly na Wydad, mnaitizama ?
Mkiiangalia hii game , je itawachukua karne ngapi kufika huko?
Hizo level mnaziona? Au ndio mtaendelea kumgombania chama na Morrison?
Mnatakiwa kujifunza maana ya investment kwenye soka na kununua wachezaji walio Serious na kazi na wenye viwanga, hakuna uchawi au sihri na kuwasha moto, ni mambo hovyo na aibu. Mpira sio msemaji wa timu, mpira ni investment.
Mnaokotaokota machikwende, mamugalu, machikwende. Halafu unaweka target ya kufika nusu fainali lol .
Fanyeni investment, wala hamtohitaji eti msemaji wa klabu, klabu itajisemea yenyewe.
Kuna wale wanaosumbua watu mtaani eti kuhamasisha, ni upumbavu wa Hali ya juu na kukosea watanzania heshima, yaani tunakaririshana ujinga kuwa klabu itafanya vyema kwa kushinda mitandaoni na kuzunguka mitaani.
Kuna yule mwîngine yeye kila akiamka ni kuangalia kipi kibaya cha makolo na kuanza kukisemea, acheni ujinga fanyeni investment, UTOPOLO haiwezi hata kumaliza preliminary stage ya klabu bingwa Africa....
Angalia maana ya investment kati ya Wydad na Ahly and enjoy ,