Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mkiambiwa manara ni duuude kuuubwa mnabisha, huyo karia akae kwa kutulia yaani kagusa waya wa moto na kama ikifika jumatatu hajamuomba radhi manara ajue hadi week ijayo atatolewa kwenye hiko cheo...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Endapo mtu angepata nafasi ya kurudi mwaka 2010 na kuwahadithia wapenzi na mashabiki wa soka la Tanzania kuwa utafika muda ligi kuu Tanzania bara itakuwa kubwa na kuwa na mvuto katika ukanda huu...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Kazi alipewa sope na aliifanya kwa ufasaha mkubwa, kumtukana Mo dewji na biashara zake, waliomlipa pesa na marupurupu mengine kama gari na kumpangia nyumba masaki wako kwenye msongo wa mawazo Je...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Watu wa Soka, Tumechagua Jiji la Arusha liwe kambi yetu maalum kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu 2022/23 (Pre-Season). Arusha patatufaa sana kwa sababu ni Jiji Tulivu, Hali ya...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Iwapo mama Samia au hata Waziri wa Michezo atatoa maamuzi juu ya kesi hiyo basi kitachotokea kitaitwa ”SERIKALI KUINGILIA MPIRA WA MIGUU”. Kosa hilo likiwafikia wakuu wa soka FIFA, basi TFF...
5 Reactions
96 Replies
5K Views
Habarini za jioni wanamichezo napend kuuliza kuulizia ofisi za marefaa
0 Reactions
7 Replies
2K Views
[emoji599]MANULA [emoji599]zimbwe jr [emoji599]kapombe [emoji599]nyoni [emoji599]kennedy juma [emoji599]mkude [emoji599]kapama [emoji599]habib kyombo [emoji599]dilunga [emoji599]kibu denis...
0 Reactions
5 Replies
618 Views
My Take Sakho sio wa kuuzwa hapa Afrika
15 Reactions
52 Replies
4K Views
Mchambuzi wa soka nchini Saleh Ally ‘Jembe’ amesema Haji Manara anapaswa kujiweka mbali na marafiki wanafiki ambao wanamjaza upepo (Kumdanganya) kwamba hana makosa kutokana na hukumu aliyoipata ya...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Manara anawadanganya Yanga kwamba haiwezekani Ismailia wacheze mechi ya ligi leo na kesho wacheze friendly na Simba Sc. Tunafahamu hiyo sio akili yake bali ni Uchawa kwa GSM. Sasa kwa sababu ni...
14 Reactions
21 Replies
2K Views
Ati wanaita estadio de Mkapa, sijui ni mbwembwe au nini? Kiswahili kina misamiati mingi, kwann isitumike badala ya kuweka maneno ya kireno? Mzee kajenga uwanja kwa heshima ya nchi na mpira. Japo...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Klabu ya Simba imejitupa uwanjani hii leo kwenye mchezo wa Kimataifa wa kirafiki (International Friendly match) dhidi ya Al Akhaood Club, ambapo matokeo ni kuwa Simba SC imeibuka na ushindi mnono...
8 Reactions
33 Replies
4K Views
. FT: SIMBA SC 6-0 AL AKHDOOD ⚽️ Phiri 🅰️ Chama ⚽️ Mkude 🅰️ Okrah ⚽️ Kagere 🅰️ Banda ⚽️⚽️ Sakho ⚽️ Nyoni My Take Sakho kuna maelekezo kapewa na Sadio Mane. Tusije kulaumiana
10 Reactions
27 Replies
2K Views
Nadhani wananchi tumtegemee Manara katika shamrashamra zetu mapema mwenzi ujao,sababu hili ni jambo letu wananchi ni sherehe yetu ya ndani hatuingiliwi na vifungu vyovyote! Otherwise hapa Mzee...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani embu haya mambo yakae sawa, watu wa graphics wa simba nafikiri ni vilaza flani hivi slow learners sana team imecheza na Abo hamad ya misri iliyopo daraja la pili siyo al akdood ya saud...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Katika kuendelea kuimarisha kikosi chake kwa msimu ujao wa 2022/ 2023 kwa michuano ya Ligi Kuu na michuano ya Kimataifa, Simba SC leo Julai 22, 2022 imekamikisha usajili wa beki wa dimba la...
19 Reactions
74 Replies
7K Views
Pamoja na sportpesa kuwa ni taasisi kubwa ya kimataifa inafanya mikataba mibovu na washirika wake. Imenishangaza sana kujitoa kwa Simba kwenye udhamini imekuwa kama jambo la ghafla. Nilitegemea...
2 Reactions
71 Replies
7K Views
Utani wa simba na yanga ulijengwa kwenye misingi ya ushindani toka huko nyuma hasa uwezo wa uwanjani. Leo utani umetoka kwenye misingi yake badala yake imekuwa mashambulizi ya mtu na mtu au kundi...
3 Reactions
98 Replies
5K Views
Wachambuzi wa masuala ya kimichezo duniani kote wameajiriwa na vyombo mbalimbali ili kutoa maoni juu ya matukio ya kimichezo yanayoendelea, aidha katika mechi au katika matukio ya kiuwekezaji na...
1 Reactions
1 Replies
506 Views
Wazungu wanasema; The Sky is the Limit. Hii kauli itatimia kwa mchezaji wa mpira wa miguu yeyote atakayejitahidi aichezee klabu ya Simba ya Tanzania. Alianza Samatta, kutoka Simba SC akaenda...
21 Reactions
54 Replies
4K Views
Back
Top Bottom