Hii yanga sc ya Hersi mbona laini laini sana? Manara keshamwaga petrol leo, hamna viberiti vya gas?
Mbona mko kimya? Mnaonewa na waziri...TFF halafu mmekaaa kama maboya tu, hadi mnaitwa vinyesi...
Wakuu wapenzi wa soka na haki za binadamu hili linawahusu!
Psychologically, Manara inaonekana ana jaziba juu ya adhabu aliyopewa, yawezekana ameonewa lakin professionally hatumii hekima, Ni kama...
Wanayanga wenzangu hivi kweli kwa ukubwa wetu hapa nchini ndugu haji manara anatudhalilishaje kuwa wenye akili ni wawili tu tena mpaka na majina amewataja. Hii haikubaliki
Kwa mwelekeo ulivyo na akili ya Manara ya kunyea kambi kawanyea mpaka tff.... bado kwako yatakukuta muda utaongea.
Akili ya Manara ni ya hovyo tena ya kishetani na mpaka hapa mtaungana namie!
1)...
Moja kwa moja kwenye mada,
Toka kutolewa kwa hukumu iliyomfungia aliyekua msemaji wa klabu ya yanga ndugu Haji Sunday Manara kumekua na makundi mawili ama moja linahisi Manara ameonewa ama...
Watu wamewekeza mamilioni ya pesa kutafuta mtu wa kumtukana na kumdhalilisha Mo Dewji na katika kuhakikisha MTUKANAJI anaishi vizuri bila msongo wa mawazo wakamtafutia aprtment baharini huko...
Haji manara wengi wanamfahamu kama el bugati wiki hii amekuwa gumzo kutokana na kudindishiana kifua na TFF.
Sasa za ndaaaaaani Haji Manara hii jeuri anapewa kiburi ni kiongozi mkubwa aliewahi...
Na adv. Mussa Makwinya
Nimepata bahati ya kumsikiliza mwamasishaji wa yanga Haji Manara kwenye press ya leo. Nimesikitika sana kwa baadhi ya maeneo ambayo ameyazungumza kwa hisia na kudhani...
Nasema hivi kwa kuwa ni Wana-Yanga pekee, kwa kuwa yuko kwo, ndio wanaweza kufanya hivyo.
LAKINI, HAJI MANARA HAYUKO SAHIHI. Endelea kumuonea huruma ya kishabiki.
Watu wa Soka,
Timu yetu Singida Big Stars imeweka kambi hapa Njiro jijini Arusha kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2022/23.
Tulichagua kuweka kambi (Pre...
Habari wakuu ..
Mimi naona kabisa swala la Manara kufungiwa miaka miwili na faini ya million 20 kuna watu wanaenda kuaibika mapema.
Manara ni mtu mkubwa, ni zaidi ya simba na yanga, ni zaidi ya...
" Wenye Akili Yanga SC nzima ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yangu Mzazi Mzee Manara waliobakia wote hawana," alisema Haji Manara alipokuwa akihojiwa na EFM Radio Kipindi cha Sports...
Jana nilitazama kiwango cha Taifa Stars ikicheza na Somalia nikafurahi jinsi timu ilicheza kwa balance ya hali ya juu huku ikitengeneza nafasi nyingi za kufunga, Sureboy, Farid na Feisal...
Hivi ndivyo Haji Manara alivyomwambia Wallace Karia , ambaye ni Rais wa TFF kule Arusha kwenye game ya fainali kati ya Yanga na Coastal Union .
Je Kauli hii inastahili adhabu hiyo na Faini ya Tsh...
Leo nimesikia audio ikitembea mitandaoni inayodaiwa kuwa imerekodiwa na Manara akimtuhumu kwa mambo mengi Barbara.Inaonekana hawa watu wana mgogoro wa mda mrefu na hawawezi kufanya kazi tena...
Nimesikitishwa kwa kitendo cha Rais wa TFF ndugu yangu Karia kurushiana maneno na msemaji wa Yanga, japo watu wanasema Manara kamtukana Karia lakini maneno mazito ambayo ni matusi yalitoka kwa...
Yaani anakujaza upepo unaingia kingi unamtukana hadharani anakuangalia tu.
Sekretariate inakupeleka kamati ya nidhamu.
Unaibuka kuwa hukumtukana
Anakupigia simu kuwa njoo home tuyamalize...
Eti Hukumu ya Haji Manara imeathiri hadi Soka la nchi jirani hasa Burundi aliyokuwa akifanya nayo Kazi hasa ya Kupromoti Soka lao.
Wapuuzi wakubwa nyie yaani Burundi ambayo imetuacha Kimpira...
Msemaji wa Yanga Haji Manara ameongea na waandishi wa habari kuelezea sakata lake la kufungiwa kujihusisha na masuala ya michezo ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha miaka 2 pamoja na faini ya...
Kesho maandamano makubwa tukayafanye karia aondolewe madarakani. Manara ametupa pande nasi tulicheze kwa upande wetu.
Karia wa kutwambia viongozi wetu wote wamejaa kinyesi kwenye sehemu zao za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.