Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hawa tunapaswa kuwatandika si chini ya bao 3. Ni team ambayo ipo nafasi ya chini kwenye ligi yao. Ni kipimo kizuri cha kutupatia ushindi na kutuchangamsha.
2 Reactions
15 Replies
537 Views
Carpe Verde ni kisiwa kilichopo kwenye Bahari ya Atlantiki, magharibi mwa pwani ya Afrika, likiwa ni taifa dogo lenye wakazi wapatao 600,000. Juzi kati Cape Verde aliifunga Cameroon mabingwa wa...
2 Reactions
15 Replies
866 Views
Wanasimba jana wamefanya tukio ngumu sana ni mara baada ya msigwa kumtwangia simu mgombea urais wa CCM Samia watu waligoma kabisa kuitikia salamu ya mgombea huyo. Kwangu ni jambo zuri sana tuko...
7 Reactions
20 Replies
742 Views
Nimetoka kuangalia clip ya Rais wa Yanga Hersi Said akisema wameingia mkataba na kampuni ya Artificial Intelligence inayoitwa Blackbird AI. Kwa maelezo yake anasema mkataba huu ni kwa ajili ya...
3 Reactions
4 Replies
741 Views
Imeamriwa kuwa watu wapewe jersey bure na pia kiingilio kiwe bure na au mchango mdogo. Tunashukuru sana Viongozi kwa upendo wao kwa wanayanga.. Soup tu ndo naona kama imecheleweshwa. Tungepata na...
3 Reactions
3 Replies
443 Views
Hivi kulikuwa Kuna ulazima Gani wa nyinyi kubadili mfumo wa hiyo app yenu? Sasa hivi hakuna kitu watu wanaangalia kwa Raha, imekua kero na wasumbufu, jiangalieni! ==== Maoni ya wadau wengine...
1 Reactions
8 Replies
746 Views
Kuna kitu kilichokuwa kimekosekana nchini.. Furaha ya kweli, Furaha ya asili Furaha halisi Furaha at free will..! Furaha ya hiari Watu Leo wamerindima na kufefea vibe kama lote toka moyoni...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
Yaani sitani Yanga wakiingiza mambo ya siasa nitachoma jezi palepale wakae wakilijua hilo naamini sitokuwa peke yangu tutakuwa wengi
0 Reactions
1 Replies
213 Views
Katika mkutano mkuu wa mwaka, thamani ya club ya Yanga imewekwa wazi kuwa ni billions 100 Yanga wanajiendesha Kisasa na uwazi kabisa, Yanga imekuwa ikifanya mikutano ya mwaka Kwa uwazi na kusoma...
11 Reactions
176 Replies
6K Views
Mfululizo wa Makala zangu za SIKU HAZIRUDI NYUMA. Hapa namaanisha kile kikosi Shababy kabisa cha Cameroon. Mguu wa shingo mguu wa Roho. “golden generation” ya Cameroon iliyotikisa dunia kwenye...
1 Reactions
0 Replies
295 Views
Huyu jamaa ukiacha vimashuti uchwara na damu ya kukubalika kama binadamu hakuna mchezaji wa maana pale..ni wale wachezaji wa nyakati kadhaa tu. Mudathiri Yahya , Yahya zaidi, na wengine wengi ni...
7 Reactions
9 Replies
837 Views
“Wananchi kesho mtaona ladha ya kiutofauti kutoka kwetu. Tumepata kocha mpya ambaye amekuja na mbinu zake. Wachezaji wetu tupo nyuma yake kuhakikisha tunafanyia kazi kila mbinu ambayo...
0 Reactions
0 Replies
235 Views
Kuelekea siku ya Mwanachi day, dondosha neno moja bila kusahau LIKES chama lipate nguvu na amsha amsha. Unyonge mwiko kwetu, uzi tear...
2 Reactions
10 Replies
364 Views
Kama nilivyoeleza Jana nimepata zari la kulipia takribani dollars 360 kupata tickets A67 ya kuingilia kuchek UEFA Final Asante kwake Mr, Richardson's betting centre wa mtaani wangu Odessa kwa...
6 Reactions
51 Replies
6K Views
Hii ni siku maalum kwa mashabiki, na wanafamilia wote wa Simba SC Club kuitazama timu yao baada ya mapumziko ya muda/pre season ili kujiandaa, kufanya usajili bora na kufanyia maboresho baadhi ya...
12 Reactions
220 Replies
10K Views
Soma pia: Yanga wanapitia maumivu makubwa sana juu ya fainali si kwa furaha hii ya muungano cup... Shabiki wa Klabu ya Simba aliyejitokeza hapa kwa mkapa anasema maumivu ya kukosa ubingwa na...
3 Reactions
7 Replies
556 Views
Kwema wakuu, natumaini ni kwema [emoji1488] Kampuni za betting hasa hizi za soka zinatumia mfumo gani kupanga odds za mechi, je ni AI inapanga kwa kupewa data za timu zitakazocheza kisha inapanga...
19 Reactions
73 Replies
6K Views
Ya akina Daniel Amokachi, Emmanuel Amunike, Babangida, Rashid Yekin, Emmanuel Okocha, Taribo West, Uche Ukwechuku, George Finidi, Sunday Oliseh, Samson Siasia, Victor Ikpeba, Peter Rufai, Peter...
5 Reactions
18 Replies
858 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…