Mwaka 2008-2016
Kwenye league yetu ya Kongo kulikuwa mtu ambaye alikuwa anaitwa sangabalende
Huyu sangambalende alikuwa shabiki wa as vita kindakindaki saana
Huyu bwana alikuwa sio msemaji wa timu...
"Ally Kamwe Msemaji mpya wa Yanga SC anapata wapi Uhalali wa kusema Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara ni mwana Yanga SC Kindakindaki wakati Baba yake Mzazi Mzee Sunday Ramadhan Manara...
Ikiwa imebaki miezi kadhaa kabla ya Kombe la Dunia la mwaka huu pale nchini Qatar tayari timu shiriki zimeanza kuachia jezi zao. Tuone timu zipi zina jezi kali.
Wote wana Corporate Personalities za Asili hasa na siyo ile ya Kulazimisha, Wasomi wazuri wa Mass Communication na wana Mvuto wa Kiushawishi hasa kwa Biashara na Mashabiki wa Vilabu vyao husika...
Anaandika Shaffi Dauda
Simba kuna vitu havipo sawa, lakini ni zile zile stori za kuvalishana suti kwenye vumbi au kuifunga Bugati injini ya bajaj ila haibadili kuwa kuna mengi hayapo sawa...
27 September 2022
Benghazi, Libya
Live Broadcast match Libya vs Tanzania
FINAL SCORE LIBYA 2 - 1 TANZANIA
Head Coach Honour Janza na kocha msaidizi Mecky Mexime
Aishi Manula
Abdallah...
Kila mwaka msimu wa usajili timu mbalimbali husajili wachezaji ili kuimalisha vikosi vyao, bahati mbaya baadhi ya timu husajili wachezaji ambao wanakuwa na mchango mdogo kwenye timu zao hivyo kuwa...
Unaweza ukakubali kwamba, kweli TFF ni Simba damu damu. Haiingii akilini, kwa TFF kutoa adhabu kali kwa Morison nyakati kama hizi. Morison ni winga wa kutegemewa kwa Yanga. Na mtihani walionao...
Lazima ni declare interest kuwa mimi ni mwana Simba halisi. Lakini natoa pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa uteuzi wao wa Idara ya Habari kwa kuchagua vijana wasomi, wenye weledi na hekima.
Uteuzi...
Amani iwe nanyi.
Nikiwa kama mdau wa michezo, napenda kuishauri kampuni ya habari ya AZAM kuhakikisha kuwa uwekezaji wao wanaoufanya katika tasnia ya michezo unaendana sambamba na kuwapa elimu ya...
CEO MPYA WA YANGA KULIKONI?, KESI ZATAJWA.
Baada ya Yanga kumtambulisha Andre Mtine kama Mtendaji Mkuu wao mpya nimepitia vyanzo mbalimbali vimeonesha kuwa ana rekodi za kesi na tuhuma...
Huyu manzi wa Kenya ni hatari kwa wanaofatilia soka la Wanawake Afrika Mashariki watakubaliana nami, mwaka jana kwenye CECAFA Tournament pale Nairobi akiwa na Vihiga Queens alikuwa hatari kama...
Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa (TPBRC) imemsimamisha kwa muda Mwamuzi Habib Mohammed 'Mkarafuu' ambaye alichezesha pambano kati ya Karim Mandonga dhidi ya Salim Abeid hadi atakapopata Mafunzo ya...
Utopolo bana, Leo mwarabu toleo la tatu amefunga ndoa na msaidizi wake, mtu mwenyewe ukimuangalia kiuno kama nge lkn bado t anaparamia mizigo, mwenzenu anakula maisha, huku nyie anawaambia muimbe...
Leicester City Football Club is an English professional football club based in Leicester in the East Midlands. The club competes in the Premier League, England's top division of football, and...
Kwenye Management kuna Theory ya Administrative Theory ambayo imeweka 6 Functions za Management na 14 principles of management . Theory hii hutumika jeshini na kwenye Intelligence Institutions kwa...
Hongera mno Ally Shabaan Kamwe kwani ni Suala la muda tu unaenda Kutangazwa kuwa Msemaji Mpya ( Afisa Habari Mpya ) wa Yanga SC.
Pongezi nyingi Kwako pia kwa kwenda Kumlamba Miguu ( Kumpigia...
Tukio lililotokea majuzi kwa mchezaji Okrah kumfanyia fujo striker mzungu, Dejan Georgindowski, linaonesha kuwa kuna mgawanyiko wa wachezaji katika dressing room na kocha Juma Mgunda hana uwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.